Tabia za wapiga chabo utazijua tu, kukata viuno kwa ngoma wasiyohusika.
Maamuzi yafanywe na cdm, na kuumia mnaumia nyie?
Mimi sio mshabiki wa walichokifanya CDM ila nashangazwa na malalmiko ya CCM kumtetea ZZK.
Mwigulu Nchemba wewe si ndio uliye mnunua Zitto? Chukueni bidhaa yenu
pole sana....povu likakutoka maana mkakati wenu umefeli. Jipangeni upya
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...
Wanapeana vyeo kwa misingi ya KICHAGAChadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...