[emoji23][emoji23]Leo kasema anayeona kupiga ngumi ni kazi rahisi apande ulingoni.Amesema ulingo ni kama kuingia nyumba ya popo bawa kwa kinyume nyume.
Huyu ni mzee wa kutoa morali tukuna kitu kizuri nakiona kwa mandonga. wakati utaongea.
kwa sasa tunamcheka na kumdhihaki kwa vipigo vya KO anavyochezea.
Mungu atakuja kumfuta machozi soon nje ya boxing.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo kasema anayeona kupiga ngumi ni kazi rahisi apande ulingoni.Amesema ulingo ni kama kuingia nyumba ya popo bawa kwa kinyume nyume.
hiyohiyo morali yake ndio itakayo mtoa.Huyu ni mzee wa kutoa morali tu
[emoji1]
Ova
OvaLeo kasema anayeona kupiga ngumi ni kazi rahisi apande ulingoni.Amesema ulingo ni kama kuingia nyumba ya popo bawa kwa kinyume nyume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaLeo kasema anayeona kupiga ngumi ni kazi rahisi apande ulingoni.Amesema ulingo ni kama kuingia nyumba ya popo bawa kwa kinyume nyume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anakuambia huwezi kuingia kinyume nyume kwenye gheto la popobawa
Team mandonga mpoNimeskiliza alichojibu MANDONGA baada ya KUPIGWA na nikagundua uyu jamaa anakipaji cha kuongea
Ikiwezekana apewe kazi ya kuwa MC wa mchezo wa ngumi au awe promoter wa masumbwi
MAJIBU YA MANDONGA BAADA YA KUPIGWA
His primary role ni boxingkuna kitu kizuri nakiona kwa mandonga. wakati utaongea.
kwa sasa tunamcheka na kumdhihaki kwa vipigo vya KO anavyochezea.
Mungu atakuja kumfuta machozi soon nje ya boxing.
kuna kitu kizuri nakiona kwa mandonga. wakati utaongea. kwa sasa tunamcheka na kumdhihaki kwa vipigo vya KO anavyochezea. Mungu atakuja kumfuta machozi soon nje ya boxing.
Mkuu nasikia MANDONGA ana 45yrs now yaani kuhusu Boxing kwake jua limeshazama awe msemaji na sio kupanda tena ulingoni anaweza kufakuna kitu kizuri nakiona kwa mandonga. wakati utaongea.
kwa sasa tunamcheka na kumdhihaki kwa vipigo vya KO anavyochezea.
Mungu atakuja kumfuta machozi soon nje ya boxing.
Sasa alivyokua anajinadi mtaani na kina nyumbi bombi wakampatia hadi jeep auze nalo sura akatangaza hadharani mpinzani wake aje na jeneza lake ebwaneee kilichotokea sasa unaambiwa mpaka muda huu Mandonga anatema meno badala ya mate huko