Alichojibu Mandonga baada ya kupigwa

Alichojibu Mandonga baada ya kupigwa

Mchezo wa ngumi ni mgumu tofauti na watu wanavyoufikiria,wakati mwingine kupanda ulingoni ni sawasawa na kuingia kinyumenyume kwenye geto la popobawa by Mandonga Mtukazi.

Jamaaa anaongea sana
 
mandonga tayari ni ameshakuwa star asilimia kubwa ya watu jana walikuwa wanalisubiria pambano la mandonga kuliko ata la kidunda alivyomaliza mandonga tu watu wakaenda kulala
 
kuna kitu kizuri nakiona kwa mandonga. wakati utaongea.

kwa sasa tunamcheka na kumdhihaki kwa vipigo vya KO anavyochezea.

Mungu atakuja kumfuta machozi soon nje ya boxing.
Huyu ni mzee wa kutoa morali tu
[emoji1]

Ova
 
Sasa alivyokua anajinadi mtaani na kina nyumbi bombi wakampatia hadi jeep auze nalo sura akatangaza hadharani mpinzani wake aje na jeneza lake ebwaneee kilichotokea sasa unaambiwa mpaka muda huu Mandonga anatema meno badala ya mate huko
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo kasema anayeona kupiga ngumi ni kazi rahisi apande ulingoni.Amesema ulingo ni kama kuingia nyumba ya popo bawa kwa kinyume nyume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaa

Mandonga chizi.
 
Nimeskiliza alichojibu MANDONGA baada ya KUPIGWA na nikagundua uyu jamaa anakipaji cha kuongea

Ikiwezekana apewe kazi ya kuwa MC wa mchezo wa ngumi au awe promoter wa masumbwi

MAJIBU YA MANDONGA BAADA YA KUPIGWA

Team mandonga mpo
 
kuna kitu kizuri nakiona kwa mandonga. wakati utaongea. kwa sasa tunamcheka na kumdhihaki kwa vipigo vya KO anavyochezea. Mungu atakuja kumfuta machozi soon nje ya boxing.

kuna kitu kizuri nakiona kwa mandonga. wakati utaongea.

kwa sasa tunamcheka na kumdhihaki kwa vipigo vya KO anavyochezea.

Mungu atakuja kumfuta machozi soon nje ya boxing.
Mkuu nasikia MANDONGA ana 45yrs now yaani kuhusu Boxing kwake jua limeshazama awe msemaji na sio kupanda tena ulingoni anaweza kufa
 
Sasa alivyokua anajinadi mtaani na kina nyumbi bombi wakampatia hadi jeep auze nalo sura akatangaza hadharani mpinzani wake aje na jeneza lake ebwaneee kilichotokea sasa unaambiwa mpaka muda huu Mandonga anatema meno badala ya mate huko

Jamaa wampe kazi ya utangazaj masumbwi
 
Back
Top Bottom