Alichokifanya Jamal Malinzi huko Twitter

Alichokifanya Jamal Malinzi huko Twitter

Jamani Mainzi....Tusimwoneeee... Mchezo huchezwa uwanjani.. Sawa. Kule Tabora na Geita nasikia mpira ulichezwa nje ya Uwanja!
 
Dah...sawa bwana wao ndio wameshika mpini zamu yao itakuja tu..
Huyu sio kiongozi wa mpira bali ni wa yebo yebo na yupo pale kwa mission maalumu ya kuwabeba yeboyebo na kuifitinisha Mabingwa wa kihistoria Simba
Weka ushahidi anavyo ibeba Yanga
 
Nakumbuka kuna mwaka fulani yule waziri wa michezo Kapuya aliwahi kuiteua Simba ndiyo iwe timu ya taifa na akaongezwa mchezaji mmoja tu wa Yanga Sekilojo Chambua..... Kiukweli tulinyanyasika sana aiseeeeee!
 
TFF inashiriki kupanga matokeo tuwe realistic. tukiendelea kuwachekea hatutafika popote soka la bongo.
 
Back
Top Bottom