chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,118
Jamani Mainzi....Tusimwoneeee... Mchezo huchezwa uwanjani.. Sawa. Kule Tabora na Geita nasikia mpira ulichezwa nje ya Uwanja!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaah ndio hapo maajabu yalipoRais anakopi duh
Weka ushahidi anavyo ibeba YangaDah...sawa bwana wao ndio wameshika mpini zamu yao itakuja tu..
Huyu sio kiongozi wa mpira bali ni wa yebo yebo na yupo pale kwa mission maalumu ya kuwabeba yeboyebo na kuifitinisha Mabingwa wa kihistoria Simba