Dah...sawa bwana wao ndio wameshika mpini zamu yao itakuja tu..
Huyu sio kiongozi wa mpira bali ni wa yebo yebo na yupo pale kwa mission maalumu ya kuwabeba yeboyebo na kuifitinisha Mabingwa wa kihistoria Simba
Nakumbuka kuna mwaka fulani yule waziri wa michezo Kapuya aliwahi kuiteua Simba ndiyo iwe timu ya taifa na akaongezwa mchezaji mmoja tu wa Yanga Sekilojo Chambua..... Kiukweli tulinyanyasika sana aiseeeeee!