Alichokifanya Mwalimu Nyerere Mwaka 1995 mbele ya Macho yangu

Uchaguzi huo!ndio ulienda na maisha ya IMRAN KOMBE!!!!MAANA NCHI ILIKUA INAENDA UPINZANI NA KOMBE ALIUNGA MKONO VUGU VUGU LILE!!!!RIP KOMBE!!CCM HAIJAANZA LEO!!!
Wakati huo nilikuwa nakaa maeneo Fulani jijini Dar es Sallam...basi mittani ilikuwa ni KERO na kwenye mabaa...watu wa kabila Fulani wakawa wamegawana vyeo vyote serikalini, orodha ya mawaziri, wakuu wa taasisi na kadhalika hata kabla ya uchaguzi kufanyika...nilikuwa na marafiki zangu wa kabila la kaskazini dah walikuwa wanatamba aisee...Mimi nilikuwa kimyaaaaa nikijua fika kuwa ni nani atakuwa rais...
 
Nyerere alikuwa dikteta hata kauli yake hii inathibitisha. Sema tu ni kwasabb alitawala enzi za giza (ujinga mwingi na uchache wa vyombo vya habari)
Ndiye alilazimisha matomeo Dar yote kufutwa ile 1995 na uchaguzi wa Zanzibar maalim kunyimwa kuwa rais 1995baada ya kumgalagaza vibaya Komandoo Salim
 
Anayo mapungufu yake Dogo! ndo alivuruga uchaguzi wa 1995

Mkapa alipigwa vibaya na Mzee wa kiraracha

Hapa bongo tulirudia uchaguzi Ili tu mkapa ashinde

Kule zenji seifu alishinda akashinikiza atangazwe komandoo

Hizi figisu za kupora ishindi wa wapinzani zilianza wakati wake
 
Anapinga kwa sababu ni tendo linaloonesha udikteta wa Nyerere ila ingelikua ni tendo zuri uaongemuona..kiufupi Nyerere hakua malaika pia ana makosa yake.
Chunguza...research na uulize mm nilikuwepo hapo uwanjani...na nakumbuka kila details...na bahati nzuri upo kwenye sekta ya habari
 

 
Mipumbavu sana hii mijitu. Hata 2015 kwa fisadi lowasa ilikuwa hivyohivyo.
Kama huwawezi...ungana nao..la sivyo roho yako itaacha mwili bila kujua..watakuua kwa kihoro

Washenzi wale kama walimfanyia baba wa taifa namna ile ...we watakufanyaje? Wachaga wehu

Usimsahau na yule Rais wa Venezuela...

Cc Gentamycine
 
Ndiye alilazimisha matomeo Dar yote kufutwa ile 1995 na uchaguzi wa Zanzibar maalim kunyimwa kuwa rais 1995baada ya kumgalagaza vibaya Komandoo Salim
Ndiye alikuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi?! Au alilazimisha akiwa na mamlaka gani!
 

Alichowafanyia waisilamu enzi za utawala wake hakitasahaulika kamwe
 
Nikuletee mawese wapi?
 
Sasa unamsifia kwa lipi Nyerere hapa?
Umekiri kumwona akilazimisha watu waichague CCM wakati hawaitaki, Nyerere ndo chanzo cha Tanzania kuwa hovyo
 
Phew! mkuu 'Maishapopote', sikumbuki kuwahi kukusoma humu JF kabla ya leo.


Hii habari yako, kidogo imenichanganya.
Mwalimu alikasirika baada ya kuona watu aliokuwa akiwaomba wamchague Mkapa walishapata chaguo lao, na kuanza kutoa maneno ambayo yanaonyesha kwamba hata wasipomchagua wao, bado atakuwa ndiye atakayeiongoza nchi!
Tatizo langu lipo hapo. Inakuwaje sasa uhitimishe kama ulivyohitimisha na hiyo aya ya mwisho?

Inawezekana nawe ukawa ni mmoja wa wale watu wanaoeleza mabo yao kinyumenyume ili kuwachanganya watu?

Lakini niseme ukweli wangu. Kati ya Mrema na Marehemu Benjamin Mkapa, nitakuwa siitendei haki Tanzania kumchagua Mrema na kumwacha Mkapa. Kwa hiyo Mwalimu alikuwa sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…