Kama Kiongozi mkubwa si busara kuanza kuchochea ghasia. Hicho kitendo kimenikera sana na sikutarajia kwa kiongozi niliyempa points nyingi sana kabla.

Tusimame kama Watanzania. Kama kuna shida na matokeo, tusubiri kwanza then twende mahakamani.
huu ni upuuzi,yeah i said it ni UPUUZI!Mag3, Sophist, fishyfish wote mna haki ya kusema, aidha niwe coward, mwoga au vyovyote vile mtavyoita, hata siku moja kushindwa na kudai haki violently is never is solution. Ninachokifahamu ni kukaribisha De campo na wenzake na kuishia kutoaminiana baada ya kiongozi wetu kupelekwa pale. Kuna namna tele za kudai haki, na si kuhamasisha watu waingie mitaani. Hata hivyo, ninavyojua kwa nchi hii hakuna mtu atakuwa tayari kuwa chambo. Tuna muda na kama tumeweza kuchukua viti 51 kama wapizani, kwanini tusiweze kuchukua nchi muda ukifika?!
kwa hiyo nyie ndugu niliowataja hapo juu, mawazo ni mazuri kwa kuandika hapa hapa ili kuyajadili na si mazuri kivitendo mtaani. Bahati nzuri hayo mnayoyasema na kuchochea hamjawahi yapata ila kwa kuona kwenye TV. Ni mbaya sana.
Tatizo ndugu yangu hujui sheria za nchi hii.. Matokeo ya raisi yakishatolewa na jk kutangazwa raisi huwezi kupinga mahakamani ndugu.. Lakini unaruhusiwa kukataa matokeo kama yamechakachuliwa kabla ya jumla yote kutajwa.. Dr. Slaa hajaropoka kutoka hewani ikizingatiwa kapata ushahidi toka kwa watu maalumu saana walio karibu na system kwa kuwa nae ni mtu anaewajua vizuri ndo maana kataja hadi muda wa kura zilipochakachuliwa na ana ushahidi kamili. Najaribu kufuatilia ili nikupe hizo facts.. Kusema kweli kama u are sensefull utakubali tume sio huru ndio maana umoja wa madola uliiponda sana kwenye ripoti yake pia nitaaitafuta kopi nikupe usome kidogo. Yeye ajatoa hewani anawafahamu hata TISS waliohusishwa na hiyo ishu.. Tulia usikie haibiwi kura mtu hapa!!!!Nimefuatilia kwa makini sana uchaguzi wa mwaka huu. Nimevutiwa sana kwa jinsi shamra shamra na msisimko mkubwa sana. Hakika Tanzania tumekomaa kisiasa na tunaelekea kwema.
Tatizo langu linakuja pale mmoja wa wagombea, hapa namaanisha Dr. Slaa kuanza kwa maksudi kabisa kutaka kuanzisha fujo zisizo na maana. Kwa jinsi alivyozipanga points zake kwa kusema kura za urais zisimamishwe na si kura za ubunge nadhani kila mmoja anafahamu kuwa alikuwa anakwepa kuudhi washirika wake walioshinda ubunge. Kwa maana hii tunatambua kuwa janja yake kubwa ni kutaka serikali ya kitaifa iundwe. Mimi nakubaliana na hiyo point, ila approach aliyotumia kwa kweli inanipa wasi wasi kama kweli ana busara na ni mtu aliyekomaa kisiasa.
Kama Kiongozi mkubwa si busara kuanza kuchochea ghasia. Hicho kitendo kimenikera sana na sikutarajia kwa kiongozi niliyempa points nyingi sana kabla.
Tusimame kama Watanzania. Kama kuna shida na matokeo, tusubiri kwanza then twende mahakamani.
Tatizo ndugu yangu hujui sheria za nchi hii.. Matokeo ya raisi yakishatolewa na jk kutangazwa raisi huwezi kupinga mahakamani ndugu.. Lakini unaruhusiwa kukataa matokeo kama yamechakachuliwa kabla ya jumla yote kutajwa.. Dr. Slaa hajaropoka kutoka hewani ikizingatiwa kapata ushahidi toka kwa watu maalumu saana walio karibu na system kwa kuwa nae ni mtu anaewajua vizuri ndo maana kataja hadi muda wa kura zilipochakachuliwa na ana ushahidi kamili. Najaribu kufuatilia ili nikupe hizo facts.. Kusema kweli kama u are sensefull utakubali tume sio huru ndio maana umoja wa madola uliiponda sana kwenye ripoti yake pia nitaaitafuta kopi nikupe usome kidogo. Yeye ajatoa hewani anawafahamu hata TISS waliohusishwa na hiyo ishu.. Tulia usikie haibiwi kura mtu hapa!!!!

Nasikia mkuu akishatangazwa na kuapishwa mahakama haina namna; ebu magwiji wa sheria mtuondoe tongotongo na mtupe mapendekezo yanayoweza tekelezeka kwa mustakabali wa wtoto wete na watoto wa watoto wetu
Mwafrika, kila mwenye macho na masikio, ameyaona na kuyasikia madudu ya NEC kwenye uchaguzi wa mwaka huu, kwa kifupi maroroso ni mengi tuu, lakini kwa vile Dr. Alisaini kuzikubali zile rules of the game, kama ana malalamiko yoyote, angeanzia kuyapeleka kwa refa (NEC) ndipo akaja na vyombo vya habari na hatimaye ayakabidhi kwa umma.
NEC inajua inachokifanya,( kuna posti niliposti kule nyuma kuhusu matokeo ya mwisho, nilitukanwa sana, nikashauri tusubiri nami bado nasubiri) na itaendelea na inachokifanya, Kesho saa 11 jioni, watatangaza matokeo ya mwisho na baada ya hapo hakuna hata mahakama yenye uwezo wa kufanya chochote. Jumamosi Saa 4:00 Uwanja wa Taifa, JK ataapishwa, kitakachofuata ni kusubiri 2015!.
Kila mpenda demokrasia wa kweli, lazima anaumizwa na kinachoendelea, naamini hata wana CCM wa ukweli, hawaipendi hali hii ya kupewa ushindi wa mezani, lakini Dr, anapaswa kuyapeleka malalamiko yake kunakohusika kwanza, ndipo na aumwage mtama kwenye kuku wengi.
Kwenye kulijadili hili, naombeni ushabiki tuuweke pembeni, tutangulize maslahi ya taifa.
Ningekuwa uarabuni walai tena ile kazi ya kujitoa mhanga ningeitekeleza.
Wanabahati nimezaliwa na uoga kidogo wa kujitoa mhanga
Tatizo ndugu yangu hujui sheria za nchi hii.. Matokeo ya raisi yakishatolewa na jk kutangazwa raisi huwezi kupinga mahakamani ndugu.. Lakini unaruhusiwa kukataa matokeo kama yamechakachuliwa kabla ya jumla yote kutajwa.. Dr. Slaa hajaropoka kutoka hewani ikizingatiwa kapata ushahidi toka kwa watu maalumu saana walio karibu na system kwa kuwa nae ni mtu anaewajua vizuri ndo maana kataja hadi muda wa kura zilipochakachuliwa na ana ushahidi kamili. Najaribu kufuatilia ili nikupe hizo facts.. Kusema kweli kama u are sensefull utakubali tume sio huru ndio maana umoja wa madola uliiponda sana kwenye ripoti yake pia nitaaitafuta kopi nikupe usome kidogo. Yeye ajatoa hewani anawafahamu hata TISS waliohusishwa na hiyo ishu.. Tulia usikie haibiwi kura mtu hapa!!!!
Pia kuna ushahidi wa SMS kati ya viongozi mbalimbali kuhusu kuchakachua kura.. Kila mtu anashangaa jamaa(Slaa ) kapataje hiyo nyeti lakini hizo sms zilihusu jimbo la Segerea bado na mengine pia... Haibiwi mtu hapa kila mtu kawachoka hao CCM..
wewe mweka hii mada,je wajua yaliyojili huko monduli? embu ona
JIMBO LA MONDULI INAKUWAJE? kikwete ana kura nyingi zaidi ya slaa na lowassa???
Katika Jimbo la Monduli
Edward Lowassa CCM 3236
Molel Aman Chadema 2358
Lakini Uchaguzi wa Rais
Kikwete CCm 27198
Wilbroad Slaa 5446
Wapi Kikwete kapata kura zaidi ya lowassa ina maana walichagua rais kuliko mbunge?
Dr slaa has no bad intentions to what he claims,,,,all he wants and we wants as well is the true and genuine results.........
hakuna haja ya kujilipua hawa tunaenda nao kibandidu ndio kitaeleweka...nguvu ya umma sio ndogo
Watanzania
Suala ni kwamba bado nyie wote hapo juu mlioongea mko gizani. Nina hakika hata mnachokiandika hamkielewi Lakini pia mtu anayekimbilia matusi mara nyingi tunajua sisi ni aliyeshindwa kuwa na hoja. Labda la maana niwaambie; Mheshimiwa Slaa harudii tena kuongea hicho alichoongea leo ambacho wengine hamjasikia. Amesisitiza kuwa anapata simu nyingi sana; shinyanga wanampigia na nchi nzima wanampigia. Sasa wanampigia nini? Akamaliza kwa kusema kuwa akianzisha valangati, si chadema, wala sisiem wala chama chochote kitapata manufaa. Sasa nyie mnaodai kuwa hakusema haya maneno mna maana ipi? Hizo ni kauli chafu cha uchochezi kuweza kutolewa na kiongozi mkubwa kama yeye. Sasa hivi lazima De campo na wenzake wameshachukua kalamu wanasubiri. Ninachojua ni kwamba watu wa busara wameshamwona Mheshimiwa Slaa na hakika ukimwambia arudie kauli zake za leo hawezi hata kwa mtutu wa bunduki hawezi kabisa. Kama kuna mtu anabisha tuendelee kusubiri kesho na siku zifuatazo na kama akirudia kuongea kama leo mnisute hapa hapa JF.
Wengine wote mnaongea tu hapa. Kama kawaida kwa kuwa mdomo na uwezo wa kuongea hakukuhitaji fedha wala ujuaji. Kuongea tu. Endeleeni.