Elections 2010 Alichokiomba Dr Slaa ni kusitisha kutangaza matokeo, sio Umwagaji damu

Nimefuatilia kwa makini sana uchaguzi wa mwaka huu. Nimevutiwa sana kwa jinsi shamra shamra na msisimko mkubwa sana. Hakika Tanzania tumekomaa kisiasa na tunaelekea kwema.

Tatizo langu linakuja pale mmoja wa wagombea, hapa namaanisha Dr. Slaa kuanza kwa maksudi kabisa kutaka kuanzisha fujo zisizo na maana. Kwa jinsi alivyozipanga points zake kwa kusema kura za urais zisimamishwe na si kura za ubunge nadhani kila mmoja anafahamu kuwa alikuwa anakwepa kuudhi washirika wake walioshinda ubunge. Kwa maana hii tunatambua kuwa janja yake kubwa ni kutaka serikali ya kitaifa iundwe. Mimi nakubaliana na hiyo point, ila approach aliyotumia kwa kweli inanipa wasi wasi kama kweli ana busara na ni mtu aliyekomaa kisiasa.

Kama Kiongozi mkubwa si busara kuanza kuchochea ghasia. Hicho kitendo kimenikera sana na sikutarajia kwa kiongozi niliyempa points nyingi sana kabla.

Tusimame kama Watanzania. Kama kuna shida na matokeo, tusubiri kwanza then twende mahakamani.

Bora damu imwagike lakini haki ipatikane, Naona unataka kutuongezea jazba.
 
Kweli wewe ni mwanjerwa!!!!!!!! Kuna tatizo, wewe ni mwanaume unaependa sana kwenda kitchen party??? maana unaongea kama punga... Dr. Slaa yeye alikuwa anagombea Urais sasa aende kushughulikia masuala ya Udiwani au Ubunge kama nani??.MWEHU utamjua tu, sasa wewe ulitaka aje na aproach gani??? mtu anao ushahidi, kama sio SI MUMPELEKE MAHAKAMANI??? mbona mnaogopa??
Kwa jinsi nilivyogundua uelewa wako ni mdogo!!!!!!!!! unasema aende mahakamani !!!!!!! KWA KATIBA YA KISHENZI KAMA YA HAO WAUME ZAKO NANI ANARUHUSU raisi akitangaza anaenda mahakamani??? wanajua kuwa wanacheza faulo nyingi sana ndo maana wakazuia hata kama wamecheza faulo.
Hebu kua bdg yangu acha ushamba, watu wa mwanjerwa ni wajanja, au wewe ni wakuja hapo KAFIE MBALI
 
Nafurahia kuwa sasa Dr. Slaa ameelewa, kama nilivyotarajia. Amebakia Mwafrica na wenzae humu jf, uzuri wake ni wepesi wa kufuata dira ya Dr. Slaa. Nanyi mtaelewa tu
 
Kweli wewe ni mwanjerwa!!!!!!!! Kuna tatizo, wewe ni mwanaume unaependa sana kwenda kitchen party??? maana unaongea kama punga... Dr. Slaa yeye alikuwa anagombea Urais sasa aende kushughulikia masuala ya Udiwani au Ubunge kama nani??.MWEHU utamjua tu, sasa wewe ulitaka aje na aproach gani??? mtu anao ushahidi, kama sio SI MUMPELEKE MAHAKAMANI??? mbona mnaogopa??
Kwa jinsi nilivyogundua uelewa wako ni mdogo!!!!!!!!! unasema aende mahakamani !!!!!!! KWA KATIBA YA KISHENZI KAMA YA HAO WAUME ZAKO NANI ANARUHUSU raisi akitangaza anaenda mahakamani??? wanajua kuwa wanacheza faulo nyingi sana ndo maana wakazuia hata kama wamecheza faulo.
Hebu kua bdg yangu acha ushamba, watu wa mwanjerwa ni wajanja, au wewe ni wakuja hapo KAFIE MBALI

maneno yako yamejaa kejeli, dharau na matusi hasa kwa kina mama. Hivi ulizaliwa na baba yako au?
 
NImefurahia kuwa hakurudia tena zile kauli zake za kichochezi na hatari sana. Hii ni nzuri sana. Naamini kama ingefanyika juhudi kubwa kabla ya uchaguzi na watu wakajiandikisha, angeweza kuwa Rais. Itabakia kwenye makarabrasha ya historia
 
hivi mwanjelwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! we ni mtanzania ama msisiemu. si ajabu ummeshikilia pembe wenzio wanakamua na kunywa maziwa. utaishia kupewa kofia, kanga na tisheti za sisiemu na unaendelea kuwa maskini wa fikra.
 
Nimefuatilia kwa makini sana uchaguzi wa mwaka huu. Nimevutiwa sana kwa jinsi shamra shamra na msisimko mkubwa sana. Hakika Tanzania tumekomaa kisiasa na tunaelekea kwema.

Tatizo langu linakuja pale mmoja wa wagombea, hapa namaanisha Dr. Slaa kuanza kwa maksudi kabisa kutaka kuanzisha fujo zisizo na maana. Kwa jinsi alivyozipanga points zake kwa kusema kura za urais zisimamishwe na si kura za ubunge nadhani kila mmoja anafahamu kuwa alikuwa anakwepa kuudhi washirika wake walioshinda ubunge. Kwa maana hii tunatambua kuwa janja yake kubwa ni kutaka serikali ya kitaifa iundwe. Mimi nakubaliana na hiyo point, ila approach aliyotumia kwa kweli inanipa wasi wasi kama kweli ana busara na ni mtu aliyekomaa kisiasa.

Kama Kiongozi mkubwa si busara kuanza kuchochea ghasia. Hicho kitendo kimenikera sana na sikutarajia kwa kiongozi niliyempa points nyingi sana kabla.

Tusimame kama Watanzania. Kama kuna shida na matokeo, tusubiri kwanza then twende mahakamani.

Wewe unayejiita Mwanjelwa you sound like Ridhiwani Kiwete. I believe you are RIDHIWANI a.k.a MWANJELWA.
Tunajua unamtetea baba yako Kiwete ili aendelee kuwanyonya Watanzania kupitia mgongo wa MAFISADI. You are quite right!
Lakini hebu tu nikwambia jambo moja kuwa ubabe,dharau,matusi na kebehi unazotumia kuwatukana Watanzania kama vile ni mazezeta akiwemo Mgombea makini DR. SLAA ambaye amemchachafya babako Kiwete mpaka nyumba nzima yaani wewe,babako na mama yako mkaamua kwenda kupiga majungu ili baba yako aendelee kutugandamiza YOU ARE DAYS ARE NUMBERED.
One day you gonna pay for all these rubbish!!

Nasikia na wewe unaandaliwa kuja kugombea Urais mwaka 2020! Sahau. CCM by that TIME will be just in books of history!!!
Hivi mnajidanganya na babako pamoja na Wakwere wote kuwa mnaweza kuitawala TZ kisultani sultani?????????? You must be dreaming.
This is my message.
 
Back
Top Bottom