Mkirua
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 5,647
- 2,505
Yale ya Mtwara ni UAMSHO nayo?
Sie yetu macho ila msingi mkubwa mumejipanga vipi kuanzisha Serikali ya Tanganyikaa na kuacha wakti wote kuifikiria Znz?
Mimi naamini wazi katika Serikali ta Tanganyika tutaona mengi sana ikiwemo Ukanda, Ukabila na UDINI.
Tuvute subra tuone.
Pole sana
Jee serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar baada ya kumaliza kutema asali na kubugia pilipili yatajiri yapi mbona unakuwa mbaguzi wa fikra? Ya mtwara hayahusiani na dini, haya ya ukanda na ukabila ni mada mpya, tumalize la udini halafu nitakujibu.
