Alichokisema Ismail Jussa baada ya Tume kutoa Rasimu ya Katiba...

Duuh!eti bonge la nchi wanapelekeshwa na kanchi kadogooo!
 
Nadhan watu wengi humu hatutaki kuijua historia yetu, Jaman Zanzibar kwame hatutaiacha iende kwani ni sehemu ya Tanganyika kama ilivyo mikoa mingine like Kigoma, Dar sasa nawashangaa hawa wakazi wa mikoa ya Tanganyika yaani mikoa ya Unguja na Pemba kwa jinsi wanavyotoa povu,

Kuiachia mikoa yetu ya unguja na Pemba ni sawa na kuiachia Kigoma iende Rwanda, Kagera iende Uganda, Mtwara iende Msumbiji, Mbeya iende Malawi, ambalo ni jambo gumu lisilowezekana hata siku moja HATA IWEJE.


PIGA UA PIGA GARAGAZA, HABANI, HASIRANI KAMWE SISI WATANGANYIKA HATUTARUHUSU MIKOA YETU YA NCHI YETU UNGUJA NA PEMBA VIRUDI MIKONONI MWA MASULTAN HAO WAKINA JUSSA NA MAARIF SEIF AMBAO NI WAZALIWA NCHINI QATAR.
 

Hata ya kuchinja yalianza hivyo hivyo. Vipi katiba yenu inasemaje nani mwenye haki ya kuchinja katika public?

Siku zote mnapenda kutoa majibu rahisi kwa masuala magumu.

Kazi kwenu. vipi nako mtwara? au ndio nguvu kutoka nje zinazosukuma hayo?

Kumbuka hata mbuyu ulianza kama mchicha. yetu macho.
 


Haya ya kuchinja yametoka wapi tena? Kawaulize Waislamu wenzio ambao wanadhani kuwa wana hatimiliki ya kuchinja ingawa sijawasikia wakitaka kutuchinjia Nguruwe. Bila shaka umeshaona hata wewe choko choko zinaanzia wapi. Kwa kifupi mwenye haki ya kuchinja ni yule mwenye mfugo na kisu. Natumaini umenielewa.

Nikisoma hoja yangu nakurejea kwenye majibu yako
nabakia nikicheka.....yaani barubaru unachekesha....halafu unajinadi kuwa msomi...
Huku ni ku - abuse elimu na shule ulizosomea. Acha niishie hapo maana nitalazimika kukujadili
wewe badala ya hoja kwakuwa huna unachojibu.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…