laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
kinje alikuwa na fujo sana kuna demu alimpa gari kiutani utani tu jamaa huyuNakumbuka enzi hizo, alifika hoteli moja Arusha na Gari moja kali na ya kibabe, muziki full blast..wahudumu wa mapokezi wakamuomba apunguze sauti akaropoka "hampendi muziki kwani nyie Twiga" nadhani alikuwa 'nduki' kama sikosei.
Alafu jamaa alikuwa anabeba toto mbili mbili at ago, yaani kwa kiingereza double double.
nyie kizazi cha insta mambo ya wajanja wa mujini hamuyajuiSifa za kijinga
hahaaa daahh kweli mkuuMtuvumilie tu, kuna vitoto kuviacha hivihivi inahitaji upako.
Cha msingi mahitaji nyumbani kama kawa na tusipeleke marazi nyumbani.
Kadi anabaki nayo.kinje alikuwa na fujo sana kuna demu alimpa gari kiutani utani tu jamaa huyu
Umepitia gate namba 3 aiseeNipo Bandarini lakini sijui nimepitia gate lipi..
Ahaaa weweee jamaa unachekeshaaa.Kinje anavyoblink sasa kwenye habari ya TundaNipo Bandarini lakini sijui nimepitia gate lipi..
Mungu anajuaMmhh!ndoa hizi!
Kwanza enzi zake hata huyo mwandishi angekula makofi kwa maswali hayo.kinje alikuwa na fujo sana kuna demu alimpa gari kiutani utani tu jamaa huyu
Kwa video hii nmeamin waandish habar wa tanzania bado vilaaa.zaMitandao ya kijamii kuanzia jana (Januari 30), iligubikwa na taarifa kuhusu kuwepo kwa uhusiano wa kimapenzi kati ya Kinjekitile Mwiru almaarufu Kinje, na kasichana ka mjini, Tunda Sebastian. Kusherehesha habari hiyo, video ya wawili hao wakinyonyana ndimi ilikuwa ikisambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii, hasa Instagram.
Huku na kule, mara paaap, mzee mzima Kinje amepatikana, watu wakaanzia mbali lakini mwisho wakagusa kwenye pointi, Kinje akafungukia video hizo na madai ya 'kukwichikwichi' na kasichana hako kazurikazuri.
KINJE anaumwa macho? Mbona anayafinya finya sana? Na huyo dada Mkono mbona anausugua kwa bibi na kwenye mapaja vipi tena mzuka umempanda baada ya kukaa na tajiri wa "SNOW"?
Guilty are afraid....!!!Mitandao ya kijamii kuanzia jana (Januari 30), iligubikwa na taarifa kuhusu kuwepo kwa uhusiano wa kimapenzi kati ya Kinjekitile Mwiru almaarufu Kinje, na kasichana ka mjini, Tunda Sebastian. Kusherehesha habari hiyo, video ya wawili hao wakinyonyana ndimi ilikuwa ikisambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii, hasa Instagram.
Huku na kule, mara paaap, mzee mzima Kinje amepatikana, watu wakaanzia mbali lakini mwisho wakagusa kwenye pointi, Kinje akafungukia video hizo na madai ya 'kukwichikwichi' na kasichana hako kazurikazuri.
Lust imebomoa family bonds na family interrelationshipMmhh!ndoa hizi!
Kweli kabisaMtuvumilie tu, kuna vitoto kuviacha hivihivi inahitaji upako.
Cha msingi mahitaji nyumbani kama kawa na tusipeleke marazi nyumbani.
Nahisi hio blink ni inherited trait, hata babaake mzee ngombale mwiru anablink hivyo hivyoKINJE anaumwa macho? Mbona anayafinya finya sana? Na huyo dada Mkono mbona anausugua kwa bibi na kwenye mapaja vipi tena mzuka umempanda baada ya kukaa na tajiri wa "SNOW"?