Alichokisema Kinje baada ya video ya mahaba na Tunda kuvuja

Nakumbuka enzi hizo, alifika hoteli moja Arusha na Gari moja kali na ya kibabe, muziki full blast..wahudumu wa mapokezi wakamuomba apunguze sauti akaropoka "hampendi muziki kwani nyie Twiga" nadhani alikuwa 'nduki' kama sikosei.

Alafu jamaa alikuwa anabeba toto mbili mbili at ago, yaani kwa kiingereza double double.
kinje alikuwa na fujo sana kuna demu alimpa gari kiutani utani tu jamaa huyu
 
Huyumtu ananyota sindie alimnyofoa MTU kwenye chama amah sio
 
Mitandao ya kijamii kuanzia jana (Januari 30), iligubikwa na taarifa kuhusu kuwepo kwa uhusiano wa kimapenzi kati ya Kinjekitile Mwiru almaarufu Kinje, na kasichana ka mjini, Tunda Sebastian. Kusherehesha habari hiyo, video ya wawili hao wakinyonyana ndimi ilikuwa ikisambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii, hasa Instagram.

Huku na kule, mara paaap, mzee mzima Kinje amepatikana, watu wakaanzia mbali lakini mwisho wakagusa kwenye pointi, Kinje akafungukia video hizo na madai ya 'kukwichikwichi' na kasichana hako kazurikazuri.

Kwa video hii nmeamin waandish habar wa tanzania bado vilaaa.za

Hii interview hiv mmeielewa wakuu
 
Mitandao ya kijamii kuanzia jana (Januari 30), iligubikwa na taarifa kuhusu kuwepo kwa uhusiano wa kimapenzi kati ya Kinjekitile Mwiru almaarufu Kinje, na kasichana ka mjini, Tunda Sebastian. Kusherehesha habari hiyo, video ya wawili hao wakinyonyana ndimi ilikuwa ikisambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii, hasa Instagram.

Huku na kule, mara paaap, mzee mzima Kinje amepatikana, watu wakaanzia mbali lakini mwisho wakagusa kwenye pointi, Kinje akafungukia video hizo na madai ya 'kukwichikwichi' na kasichana hako kazurikazuri.

Guilty are afraid....!!!
 
Back
Top Bottom