Alichokisema Peter Kibatala kuhusu Boni Yai kunyimwa dhamana na kurudishwa Rumande

Alichokisema Peter Kibatala kuhusu Boni Yai kunyimwa dhamana na kurudishwa Rumande

Yakifanikiwa siku moja basi hii Tz itakuwa balaa, ipo siku yao watatoka ofisini kwa nguvu
 
Una jeshi,una polisi,una nec,una mahakama, una bunge una walimu wanaokusaidia kuiba kura.
Lakini HAUJIAMINI.
Mbowe hata mgambo hanaaa.
Ila anakunyima usingizi🤣🤣.
Ukisikia tembo anamuogopa chura ndo huku.
Mbowe anatisha, chaguzi zote si anashinda yeye, anaibiwa kura. Au sivyo?
 
MALISA

#UpdstesKisutu

WAKILI WA JAMHURI: Mheshimiwa tuna maombi mawili mbele ya Mahakama yako tukufu. La kwanza tunaomba Mahakama kumpa AMRI Boniface atoe Password yake ya mtandao wa X (Twitter) ili kukamilisha upelelezi.

WAKILI WA JAMHURI: Law enforcement Officers wanashikilia simu mbili za Boniface aina ya Samsung. RCO Msangi alipomtaka atoe Password alikataa, hivyo upelelezi ulikwama. Kwahiyo tunaomba mahakama kutoa AMRI ya kumlazimisha Boniface atoe password ili kukamilisha upelelezi.

WAKILI WA JAMHURI: Mhe.Hakimu tunaomba upande wa utetezi watujibu ili tuwasilishe maombi ya pili.

HAKIMU: Upande wa utetezi mnajibu moja moja au wamalizie zote?

WAKILI KIBATALA: Wawakilishe zote Mheshimiwa.

HAKIMU: Jamhuri endeleeni.

WAKILI WA JAMHURI: Ombi la pili, tunaomba Mtuhumiwa asipewe dhamana mpaka hali itakapokuwa nzuri, ili asitekwe au kuuliwa kwani alisema yupo kwenye danger. Natambua dhamana ni haki yake ila alimwambia RCO Msangi kuwa yupo kwenye risk ya kutekwa na kuuawa. Hivyo tunaomba asipewe dhamana kwa usalama wake.

HAKIMU: Upande wa utetezi mpo tayari?

WAKILI KIBATALA: Ndio Mheshimiwa Hakimu.

WAKILI KIBATALA: Sheria inasema (anataja vifungu) OCS ndiye anayeruhusiwa kutazama simu ya Mtuhumiwa na si RCO. Kwanini RCO Msangi alitaka simu ya Boniface wakati OCS alikuwepo?

Pia sheria inasema (anataja vifungu) anayepaswa kuleta maombi ya password Mahakamani ni Polisi sio Jamhuri. Mpaka sasa Polisi hawajaleta maombi yoyote mahakamani. Na hii inadhihirisha hawana shida na password ya Boniface. Sasa nyie Jamhuri mnataka password kwa sheria ipi?

WAKILI KIBATALA: Pia hii Application haina kifungu chochote cha sheria, haina individual Callander wala criminal case number. Mheshimiwa Hakimu; Hawa wanataka Mahakama yako itoe Amri wakati application yao haina hata case number? Watu watakushangaa Mheshimiwa. Pia affidavit yao inasema simu ni Samsung. Lakini ni Samsung gani, yenye IMEI number? Line gani za simu? Mheshimiwa Hakimu naomba utupilie mbali maombi ya Jamhuri.!

INAENDELEA......
 
Mbowe anatisha, chaguzi zote si anashinda yeye, anaibiwa kura. Au sivyo?
💯 upo sahihi kabisa.
Magufuli mwenyewe kaiba kura ndo akaingia ikulu.
Vyama vya upinzani mpaka ruzuku za kuendeshea vyama vyao wanapewa na rais,msajili wa vyama vya upinzani anachaguliwa na rais,mwenye kiti wa NEC anachaguliwa na rais,mwana sheria mkuu wa serikali anachaguliwa na rais,umkuu wa usalama wa taifa anachaguliwa na rais.yaani nwenyekiti wa ccm ana vyooooooote hivyo.lakini bado anawaogopa wapinzani ambao hawana hata mjumbe wa nyumba 10.
 
Wanasubiri kwanza madam President arudi toka New York kwenye mkutano wa UNGA
Anawazodoa wakuda waliosema ana mkwepa yule Binti wa Kipare mtoto wa Kimambi 🥱

Ila siku Tanganyika ilipata uhuru kamili Mange itabidi apewe Nishati ya hali ya juu iwe akiwa hai au amekufa . Anastahili heshima kubwa sana ya kutetea haki za binadamu na utawala bora na kupambana na udikteta na wizi wa mali za umma.

Yule Mzanzibar 1akifanikiwa kushinda kwa Kura kwenye uchaguzi atawaua Watanganyika kama Hitler na Wayahudi. Huyu mama kamwe hawapendi Wangayika kutoka ndani ya Moyo wale na roho wake na imani yake na Desturi yake na mila zake.
 
Back
Top Bottom