1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
💯 upo sahihi kabisa.
Magufuli mwenyewe kaiba kura ndo akaingia ikulu.
Vyama vya upinzani mpaka ruzuku za kuendeshea vyama vyao wanapewa na rais,msajili wa vyama vya upinzani anachaguliwa na rais,mwenye kiti wa NEC anachaguliwa na rais,mwana sheria mkuu wa serikali anachaguliwa na rais,umkuu wa usalama wa taifa anachaguliwa na rais.yaani nwenyekiti wa ccm ana vyooooooote hivyo.lakini bado anawaogopa wapinzani ambao hawana hata mjumbe wa nyumba 10.
Katiba mbovu sana .
Huyu alipaswa kuwa ni Rais wa mpito.
Hakujiandaa ndio maana hata dira ya amani ya nchi kubwa kama Tanganyika hana .
Hata wetu anaowateua hawana maandalizi na vision kwenye idara zao.
Leo ukimuuliza Awadhi ,Kingai ,Masauni na Wambura nchi ya Tanganyika yenye wetu mil 65 wanalindwa kwa falsafa gani mpaka sasa hajui . Je, ni mauaji ndiyo yanayojenga amani iliyopo au ni ustaarabu na mila zetu za asili za upendo na kutajaminiana kama binadamu?
Usipomthamni mtu kwa sababu ya ummaskini na unyonge wake ukawa unawaheshimu wakubwa tu basi ni hatari sana kwa amani ya nchi.
Samia anataka nidhamu ya kijeshi ndiyo itumike kuwalazimisha watanzania wote kuifuata bila kuhoji ni Ndio afwande . Sasa kuna haja gani ya kuwa na Rais anayeingia kidemokrasia halafu anatawala kijeshi?
Hapo mwisho utakua bora wote tukose CCM wakose na Chadema wakose . Jeshi lishike nchi ili wote tuheshimiane na kutii mapaka watakapojifunza umuhimu wa kufuata katiba inayowapa wananchi nguvu juu ya serikali yao .
Woga wa Samia ni nini wakati hakuchaguliwa kwa kura ?
Damu za wanyonge zitamuondoa madarakani !
Eti kifo ni kifo tu ?
Yaani madaraka ni makubwa kuliko uhai wa watu?
Huyu MZANZIBARI ANA ROHO MBAYA SANA kama mama wa kambo.