Alichokisema Peter Kibatala kuhusu Boni Yai kunyimwa dhamana na kurudishwa Rumande


Katiba mbovu sana .

Huyu alipaswa kuwa ni Rais wa mpito.
Hakujiandaa ndio maana hata dira ya amani ya nchi kubwa kama Tanganyika hana .
Hata wetu anaowateua hawana maandalizi na vision kwenye idara zao.

Leo ukimuuliza Awadhi ,Kingai ,Masauni na Wambura nchi ya Tanganyika yenye wetu mil 65 wanalindwa kwa falsafa gani mpaka sasa hajui . Je, ni mauaji ndiyo yanayojenga amani iliyopo au ni ustaarabu na mila zetu za asili za upendo na kutajaminiana kama binadamu?

Usipomthamni mtu kwa sababu ya ummaskini na unyonge wake ukawa unawaheshimu wakubwa tu basi ni hatari sana kwa amani ya nchi.

Samia anataka nidhamu ya kijeshi ndiyo itumike kuwalazimisha watanzania wote kuifuata bila kuhoji ni Ndio afwande . Sasa kuna haja gani ya kuwa na Rais anayeingia kidemokrasia halafu anatawala kijeshi?

Hapo mwisho utakua bora wote tukose CCM wakose na Chadema wakose . Jeshi lishike nchi ili wote tuheshimiane na kutii mapaka watakapojifunza umuhimu wa kufuata katiba inayowapa wananchi nguvu juu ya serikali yao .

Woga wa Samia ni nini wakati hakuchaguliwa kwa kura ?
Damu za wanyonge zitamuondoa madarakani !

Eti kifo ni kifo tu ?
Yaani madaraka ni makubwa kuliko uhai wa watu?
Huyu MZANZIBARI ANA ROHO MBAYA SANA kama mama wa kambo.
 
Haya ndio Mashtaka yanayomkabili Boniface Jacob @ExMayorUbungo , wakili Peter Kibatala
@PKibatala_ azungumza
View attachment 3100682
FROM WAKILI MSOMI KIBATALA: "IN THE FAIRENESS", HAKIMU ASINGELIWEZA KUYAOLEA MAAMUZI MAPINGAMIZI YA DHAMANA. ASANTE MSOMI KIBATALA FOR THAT PROFESSIONAL OBSERVATION! maana watu , including me, nilishamlaumu na kumlaani Hakimu kuwa he is acting under satan instructions from above! Erythrocyte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…