Alichokosea Dr. Msolla kuhusu mashabiki Yanga kuchangia usajili

Alichokosea Dr. Msolla kuhusu mashabiki Yanga kuchangia usajili

Bakuli FC
20200823_213402.jpg
 
Yanga hovyooo. Unapeleka jina la Morrison CAF na FIFA ili iweje? TFF imeshamkata mkia na YANGA hamlipi chochote, sasa mnamng'ang'ania kivipi? Au ni Mwanamke mweupe na ninyi ni wasukuma?!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we jamaa eti mwanamke mweupe na msukuma
 
Kosalake likowapi dr.Msola.kama fedha za usajili zimekata kwanini asisemewazi ili wadau wachangie?.
Simba kwa sasa wanafedha inasajili ilikujiandaa na mashindano makubwa ya kimataifa,na Yanga wapokwaajili ya kushindana na Simba,kwaiyo Yanga wanalazimisha kupita anapopita Simba wakati fedha hawana.
 
Mwenyekiti went watani anapwaya saaana sana, anapotakiwa kuongea haongei anapotakiwa kukaa kimya anaongea.
 
Mwenyekiti went watani anapwaya saaana sana, anapotakiwa kuongea haongei anapotakiwa kukaa kimya anaongea.
Shida yake iko kwenye uwezo wa kufanya public speaking, kuongea hadharani, kipaji hicho hakujaliwa nacho, hakueleweka na alishindwa kuwasilisha vema kile alichokusudia kwa wadau
 
Back
Top Bottom