Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
We mavi unayo kwenye ubongoKila mtu, anayo mavi, U included

Gwajima ametoa mifano tu. Mifano yake mbona imewatisha sana?Kwa kweli ameshindwa kuwasilisha au kuwakilisha alichokikusudia na badala yake anaelekeza kwenye kamati ya Raisi inayojihusisha na uteuzi ,ambapo hapa Gwajima amepaona ndiopo penye ukakasi wa wakuu wa ulinzi kwa ujumla wao kusitishwa kuendelea na uchunguzi utekelezaji au ufuatiliaji endapo kuna harufu au uhakika wa wanayoyafuatilia kuwagusa wakuu wa nchi, au kashindwa kusema wakuu wa CCM.
Hatuba yote ya Gwajina imeshindwa kuwalaumu wakuu wa vyombo vya ulinzi kwa ujumla wao na haswa Police na Usalama wa Taifa.
Tunaona nchi za walizo endelea wakuu hawa wakiwemo Mawaziri hujiuzulu mara moja na ikiwa Gwajima kwa alivyo wagusa wakuu kuwa wana watoto wana familia na hili na lile, hivyo inabidi inabidi wamezee ,Wakuu wanaweza kumjibu Gwajima kuwa wao hawapo kwa ajili ya wananchi wote wapo kwa ajili ya matumbo yao.
Kwajima amegusia kuwa Raisi huwaondoa au hufukuza Gwajima amekosea (Raisi hajamfukuza mtu kazi anabadilisha).
Hapa hapatakiwi kubadilisha wala kufukuzwa kunahitajika yanapotokea matokeo(Tuseme utekaji) na hakuna alietuhumiwa na mwishowe kukamatwa ,wakuu wa vyombo vya ulinzi husika akiwemo Waziri ni lazima kuwajibika kwa kujiuzulu.
Tuchukuwe lile tukio la kuchukuliwa watu Mahakani na gari zinazosemekana za polisi na watu waliovalia mavazi ya kipolisi hawa wanawakilisha Jeshi la Ulinzi la Polisi mbaadae unasikia Mkuu wa polisi akisema hajachukuliwa mtu na polisi haina taarifa ya tukio hili,
Inawezekana wakuu hawa wa Polisi wanaishi katika wakati uliopita na kwa muda huu wapo wapo tu,
Maana kuna watu waliokuwepo na kurekodi tukio mbali ya vyombo vya habari hata watu wa kawaida siku hizi automatikc ni wahabarishi na pengine huwezi hata kujua kama wapo karibu yako.
Hapo Waziri au Mkuu wa Jeshi la polisi ilikuwa mara moja achukuwe hatua juu ya viongozi wa polisi walioko katika eneo na kwa yule kamanda alietoa tangazo la UWONGO kuutangazia umma wa watanzania kuwa Polisi hawana habari kwa kilichotokea ,
Tuseme kama si wao na walikuwepo kwenye eneo wangelijivua kwa kusema waliochukuwa raia ni Kikosi kutoka usalama wa Taifa ,ila kusema hawana habari na tukio limetokea na kuna polisi wa kudumu katika mageti ya mahakama, Waziri na Mkuu wa polisi .
Na hivi vyombo vyetu vinajua kuhoji mambo ya udaku tu lakini vinashindwa kuwahoji direct wakuu husika wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa masuali ya kutoa jasho na yahusuyo matokeo mazito ,japo jawabu tunalijua kuwa ...suala hilo lipo kwenye uchunguzi na uchunguzi ukikamilika tutakuja kuwajulisha.... ndio imetoka au imekula kwao.
Gwajima kabla ya kufika kwenye maeneo ya Raisi na teuzi kwanza angawakaba koo hawa viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa raia na baadae akapanda ngazi kwa Raisi. Huenda Raisi anawabadilisha watu kwa kusema Polisi haina habari yoyote.
"Mnufaika wa hayo yote ni rais" vyombo vya dola vinapokea amri kutoka kwa mteuzi wao,na mbaya zaidi kwa sasa hajifichi tena, Gwajima yuko sawa kabisa, "kuna genge limeundwa hata vyombo vya usalama vinaogopa kuligusa"Kwa kweli ameshindwa kuwasilisha au kuwakilisha alichokikusudia na badala yake anaelekeza kwenye kamati ya Raisi inayojihusisha na uteuzi ,ambapo hapa Gwajima amepaona ndiopo penye ukakasi wa wakuu wa ulinzi kwa ujumla wao kusitishwa kuendelea na uchunguzi utekelezaji au ufuatiliaji endapo kuna harufu au uhakika wa wanayoyafuatilia kuwagusa wakuu wa nchi, au kashindwa kusema wakuu wa CCM.
Hatuba yote ya Gwajina imeshindwa kuwalaumu wakuu wa vyombo vya ulinzi kwa ujumla wao na haswa Police na Usalama wa Taifa.
Tunaona nchi za walizo endelea wakuu hawa wakiwemo Mawaziri hujiuzulu mara moja na ikiwa Gwajima kwa alivyo wagusa wakuu kuwa wana watoto wana familia na hili na lile, hivyo inabidi inabidi wamezee ,Wakuu wanaweza kumjibu Gwajima kuwa wao hawapo kwa ajili ya wananchi wote wapo kwa ajili ya matumbo yao.
Kwajima amegusia kuwa Raisi huwaondoa au hufukuza Gwajima amekosea (Raisi hajamfukuza mtu kazi anabadilisha).
Hapa hapatakiwi kubadilisha wala kufukuzwa kunahitajika yanapotokea matokeo(Tuseme utekaji) na hakuna alietuhumiwa na mwishowe kukamatwa ,wakuu wa vyombo vya ulinzi husika akiwemo Waziri ni lazima kuwajibika kwa kujiuzulu.
Tuchukuwe lile tukio la kuchukuliwa watu Mahakani na gari zinazosemekana za polisi na watu waliovalia mavazi ya kipolisi hawa wanawakilisha Jeshi la Ulinzi la Polisi mbaadae unasikia Mkuu wa polisi akisema hajachukuliwa mtu na polisi haina taarifa ya tukio hili,
Inawezekana wakuu hawa wa Polisi wanaishi katika wakati uliopita na kwa muda huu wapo wapo tu,
Maana kuna watu waliokuwepo na kurekodi tukio mbali ya vyombo vya habari hata watu wa kawaida siku hizi automatikc ni wahabarishi na pengine huwezi hata kujua kama wapo karibu yako.
Hapo Waziri au Mkuu wa Jeshi la polisi ilikuwa mara moja achukuwe hatua juu ya viongozi wa polisi walioko katika eneo na kwa yule kamanda alietoa tangazo la UWONGO kuutangazia umma wa watanzania kuwa Polisi hawana habari kwa kilichotokea ,
Tuseme kama si wao na walikuwepo kwenye eneo wangelijivua kwa kusema waliochukuwa raia ni Kikosi kutoka usalama wa Taifa ,ila kusema hawana habari na tukio limetokea na kuna polisi wa kudumu katika mageti ya mahakama, Waziri na Mkuu wa polisi .
Na hivi vyombo vyetu vinajua kuhoji mambo ya udaku tu lakini vinashindwa kuwahoji direct wakuu husika wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa masuali ya kutoa jasho na yahusuyo matokeo mazito ,japo jawabu tunalijua kuwa ...suala hilo lipo kwenye uchunguzi na uchunguzi ukikamilika tutakuja kuwajulisha.... ndio imetoka au imekula kwao.
Gwajima kabla ya kufika kwenye maeneo ya Raisi na teuzi kwanza angawakaba koo hawa viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa raia na baadae akapanda ngazi kwa Raisi. Huenda Raisi anawabadilisha watu kwa kusema Polisi haina habari yoyote.
Kwa kweli ameshindwa kuwasilisha au kuwakilisha alichokikusudia na badala yake anaelekeza kwenye kamati ya Raisi inayojihusisha na uteuzi ,ambapo hapa Gwajima amepaona ndiopo penye ukakasi wa wakuu wa ulinzi kwa ujumla wao kusitishwa kuendelea na uchunguzi utekelezaji au ufuatiliaji endapo kuna harufu au uhakika wa wanayoyafuatilia kuwagusa wakuu wa nchi, au kashindwa kusema wakuu wa CCM.
Hatuba yote ya Gwajina imeshindwa kuwalaumu wakuu wa vyombo vya ulinzi kwa ujumla wao na haswa Police na Usalama wa Taifa.
Tunaona nchi za walizo endelea wakuu hawa wakiwemo Mawaziri hujiuzulu mara moja na ikiwa Gwajima kwa alivyo wagusa wakuu kuwa wana watoto wana familia na hili na lile, hivyo inabidi inabidi wamezee ,Wakuu wanaweza kumjibu Gwajima kuwa wao hawapo kwa ajili ya wananchi wote wapo kwa ajili ya matumbo yao.
Kwajima amegusia kuwa Raisi huwaondoa au hufukuza Gwajima amekosea (Raisi hajamfukuza mtu kazi anabadilisha).
Hapa hapatakiwi kubadilisha wala kufukuzwa kunahitajika yanapotokea matokeo(Tuseme utekaji) na hakuna alietuhumiwa na mwishowe kukamatwa ,wakuu wa vyombo vya ulinzi husika akiwemo Waziri ni lazima kuwajibika kwa kujiuzulu.
Tuchukuwe lile tukio la kuchukuliwa watu Mahakani na gari zinazosemekana za polisi na watu waliovalia mavazi ya kipolisi hawa wanawakilisha Jeshi la Ulinzi la Polisi mbaadae unasikia Mkuu wa polisi akisema hajachukuliwa mtu na polisi haina taarifa ya tukio hili,
Inawezekana wakuu hawa wa Polisi wanaishi katika wakati uliopita na kwa muda huu wapo wapo tu,
Maana kuna watu waliokuwepo na kurekodi tukio mbali ya vyombo vya habari hata watu wa kawaida siku hizi automatikc ni wahabarishi na pengine huwezi hata kujua kama wapo karibu yako.
Hapo Waziri au Mkuu wa Jeshi la polisi ilikuwa mara moja achukuwe hatua juu ya viongozi wa polisi walioko katika eneo na kwa yule kamanda alietoa tangazo la UWONGO kuutangazia umma wa watanzania kuwa Polisi hawana habari kwa kilichotokea ,
Tuseme kama si wao na walikuwepo kwenye eneo wangelijivua kwa kusema waliochukuwa raia ni Kikosi kutoka usalama wa Taifa ,ila kusema hawana habari na tukio limetokea na kuna polisi wa kudumu katika mageti ya mahakama, Waziri na Mkuu wa polisi .
Na hivi vyombo vyetu vinajua kuhoji mambo ya udaku tu lakini vinashindwa kuwahoji direct wakuu husika wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa masuali ya kutoa jasho na yahusuyo matokeo mazito ,japo jawabu tunalijua kuwa ...suala hilo lipo kwenye uchunguzi na uchunguzi ukikamilika tutakuja kuwajulisha.... ndio imetoka au imekula kwao.
Gwajima kabla ya kufika kwenye maeneo ya Raisi na teuzi kwanza angawakaba koo hawa viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa raia na baadae akapanda ngazi kwa Raisi. Huenda Raisi anawabadilisha watu kwa kusema Polisi haina habari yoyote.
Mkuu, wasipokuelewa kwa ufafanuzi huu, usiwafundishe tena.Maelezo ya Gwajima yanahitaji kusoma katikati ya mistari kumuelewa,kifupi ni kuwa anakiri ni vyombo hivyo vinahusika na maovu hayo na vinafanya hivyo kwa matakwa na manufaa ya mamlaka ya uteuzi na hoja yake ni kutaka kuvinasua vyombo hivyo kwenye utando wa wanasiasa ili viwe huru. Kama hujalielewa hili hizo ni shida zako tu.
2.)Hatua ya yeye askofu G kujitokeza tuu na kuonesha kuchukizwa na kukemea uovu ni hatua kubwa,ngumu na yakupongezwa...Kwa kweli ameshindwa kuwasilisha au kuwakilisha alichokikusudia na badala yake anaelekeza kwenye kamati ya Raisi inayojihusisha na uteuzi ,ambapo hapa Gwajima amepaona ndiopo penye ukakasi wa wakuu wa ulinzi kwa ujumla wao kusitishwa kuendelea na uchunguzi utekelezaji au ufuatiliaji endapo kuna harufu au uhakika wa wanayoyafuatilia kuwagusa wakuu wa nchi, au kashindwa kusema wakuu wa CCM.
Hatuba yote ya Gwajina imeshindwa kuwalaumu wakuu wa vyombo vya ulinzi kwa ujumla wao na haswa Police na Usalama wa Taifa.
Tunaona nchi za walizo endelea wakuu hawa wakiwemo Mawaziri hujiuzulu mara moja na ikiwa Gwajima kwa alivyo wagusa wakuu kuwa wana watoto wana familia na hili na lile, hivyo inabidi inabidi wamezee ,Wakuu wanaweza kumjibu Gwajima kuwa wao hawapo kwa ajili ya wananchi wote wapo kwa ajili ya matumbo yao.
Kwajima amegusia kuwa Raisi huwaondoa au hufukuza Gwajima amekosea (Raisi hajamfukuza mtu kazi anabadilisha).
Hapa hapatakiwi kubadilisha wala kufukuzwa kunahitajika yanapotokea matokeo(Tuseme utekaji) na hakuna alietuhumiwa na mwishowe kukamatwa ,wakuu wa vyombo vya ulinzi husika akiwemo Waziri ni lazima kuwajibika kwa kujiuzulu.
Tuchukuwe lile tukio la kuchukuliwa watu Mahakani na gari zinazosemekana za polisi na watu waliovalia mavazi ya kipolisi hawa wanawakilisha Jeshi la Ulinzi la Polisi mbaadae unasikia Mkuu wa polisi akisema hajachukuliwa mtu na polisi haina taarifa ya tukio hili,
Inawezekana wakuu hawa wa Polisi wanaishi katika wakati uliopita na kwa muda huu wapo wapo tu,
Maana kuna watu waliokuwepo na kurekodi tukio mbali ya vyombo vya habari hata watu wa kawaida siku hizi automatikc ni wahabarishi na pengine huwezi hata kujua kama wapo karibu yako.
Hapo Waziri au Mkuu wa Jeshi la polisi ilikuwa mara moja achukuwe hatua juu ya viongozi wa polisi walioko katika eneo na kwa yule kamanda alietoa tangazo la UWONGO kuutangazia umma wa watanzania kuwa Polisi hawana habari kwa kilichotokea ,
Tuseme kama si wao na walikuwepo kwenye eneo wangelijivua kwa kusema waliochukuwa raia ni Kikosi kutoka usalama wa Taifa ,ila kusema hawana habari na tukio limetokea na kuna polisi wa kudumu katika mageti ya mahakama, Waziri na Mkuu wa polisi .
Na hivi vyombo vyetu vinajua kuhoji mambo ya udaku tu lakini vinashindwa kuwahoji direct wakuu husika wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa masuali ya kutoa jasho na yahusuyo matokeo mazito ,japo jawabu tunalijua kuwa ...suala hilo lipo kwenye uchunguzi na uchunguzi ukikamilika tutakuja kuwajulisha.... ndio imetoka au imekula kwao.
Gwajima kabla ya kufika kwenye maeneo ya Raisi na teuzi kwanza angawakaba koo hawa viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa raia na baadae akapanda ngazi kwa Raisi. Huenda Raisi anawabadilisha watu kwa kusema Polisi haina habari yoyote.
Hapana.mkuu hii santuri yako unaweza kuibadilisha?
Afadhali hiyo, we ndyo huna ubongo kabisa, ni fuvu tupu (encephalopathy)We mavi unayo kwenye ubongo
Gwajima kakuacha mbali sana. Kasome kuhusu Root Cause AnalysisKwa kweli ameshindwa kuwasilisha au kuwakilisha alichokikusudia na badala yake anaelekeza kwenye kamati ya Raisi inayojihusisha na uteuzi ,ambapo hapa Gwajima amepaona ndiopo penye ukakasi wa wakuu wa ulinzi kwa ujumla wao kusitishwa kuendelea na uchunguzi utekelezaji au ufuatiliaji endapo kuna harufu au uhakika wa wanayoyafuatilia kuwagusa wakuu wa nchi, au kashindwa kusema wakuu wa CCM.
Hatuba yote ya Gwajina imeshindwa kuwalaumu wakuu wa vyombo vya ulinzi kwa ujumla wao na haswa Police na Usalama wa Taifa.
Tunaona nchi za walizo endelea wakuu hawa wakiwemo Mawaziri hujiuzulu mara moja na ikiwa Gwajima kwa alivyo wagusa wakuu kuwa wana watoto wana familia na hili na lile, hivyo inabidi inabidi wamezee ,Wakuu wanaweza kumjibu Gwajima kuwa wao hawapo kwa ajili ya wananchi wote wapo kwa ajili ya matumbo yao.
Kwajima amegusia kuwa Raisi huwaondoa au hufukuza Gwajima amekosea (Raisi hajamfukuza mtu kazi anabadilisha).
Hapa hapatakiwi kubadilisha wala kufukuzwa kunahitajika yanapotokea matokeo(Tuseme utekaji) na hakuna alietuhumiwa na mwishowe kukamatwa ,wakuu wa vyombo vya ulinzi husika akiwemo Waziri ni lazima kuwajibika kwa kujiuzulu.
Tuchukuwe lile tukio la kuchukuliwa watu Mahakani na gari zinazosemekana za polisi na watu waliovalia mavazi ya kipolisi hawa wanawakilisha Jeshi la Ulinzi la Polisi mbaadae unasikia Mkuu wa polisi akisema hajachukuliwa mtu na polisi haina taarifa ya tukio hili,
Inawezekana wakuu hawa wa Polisi wanaishi katika wakati uliopita na kwa muda huu wapo wapo tu,
Maana kuna watu waliokuwepo na kurekodi tukio mbali ya vyombo vya habari hata watu wa kawaida siku hizi automatikc ni wahabarishi na pengine huwezi hata kujua kama wapo karibu yako.
Hapo Waziri au Mkuu wa Jeshi la polisi ilikuwa mara moja achukuwe hatua juu ya viongozi wa polisi walioko katika eneo na kwa yule kamanda alietoa tangazo la UWONGO kuutangazia umma wa watanzania kuwa Polisi hawana habari kwa kilichotokea ,
Tuseme kama si wao na walikuwepo kwenye eneo wangelijivua kwa kusema waliochukuwa raia ni Kikosi kutoka usalama wa Taifa ,ila kusema hawana habari na tukio limetokea na kuna polisi wa kudumu katika mageti ya mahakama, Waziri na Mkuu wa polisi .
Na hivi vyombo vyetu vinajua kuhoji mambo ya udaku tu lakini vinashindwa kuwahoji direct wakuu husika wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa masuali ya kutoa jasho na yahusuyo matokeo mazito ,japo jawabu tunalijua kuwa ...suala hilo lipo kwenye uchunguzi na uchunguzi ukikamilika tutakuja kuwajulisha.... ndio imetoka au imekula kwao.
Gwajima kabla ya kufika kwenye maeneo ya Raisi na teuzi kwanza angawakaba koo hawa viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa raia na baadae akapanda ngazi kwa Raisi. Huenda Raisi anawabadilisha watu kwa kusema Polisi haina habari yoyote.
Hahahaha masikini mnatabu sana endelea kushobokea mafisadi sababu njaa zinawasumbua🤣🤣🤣🤣🤣Afadhali hiyo, we ndyo huna ubongo kabisa, ni fuvu tupu (encephalopathy)
Hiyo akili ya kumuelewa HanaWewe ndio hujamuelewa vizuri hebu rudia kumsikiliza Tena.
We ndyo njaa/miserable life inakutesa, na una ujinga wa kitoto kuamini umaskini wako utamalizwa na wanasiasa/vyama vya siasa, imani yako ya kisiasa ni utopiaHahahaha masikini mnatabu sana endelea kushobokea mafisadi sababu njaa zinawasumbua🤣🤣🤣🤣🤣
Njaa unayo wewe unae Tete mafisadi ukitarajia kupewa pesa za bure pambana na Hali YakoWe ndyo njaa/miserable life inakutesa, na una ujinga wa kitoto kuamini umaskini wako utamalizwa na wanasiasa/vyama vya siasa, imani yako ya kisiasa ni utopia
Sijasema ila kwa mfano tu mtoto wako akitekwa utajisikiaje?Mm naamin Gwajina anajua kupitia CCM awezi pita vijana usema atoboi kura za maoni CCM ni mwiba kwake!!
na wkt huu akuna wakum'beba!!!
CCM itakubeba vip wkt Bungeni ulikuwa Bubu !!!
apo chacha kakumbuka shuka Asubui!!!!!!!!!!!
kama vile akupita ata mwanzo lkn ndio alibebwa na RIP JPM !!!
Gwajina anatafuta mlango wa kurudi Bungeni kupitia chama cha Upinzani mana ndani ya CCM anaona nyota nyota !!!
jimbo la Kawe uku akimwangalia Halima Mdee anadhidi kuchoka !!!
Siku zote alikuwa wapi kulalamika chochote utenguzi ulianza leo !!¿¿¿¿
lengo lake apate Chama cha Upinzani chenye nguvu Kim'bebe kashazoea kubebwa!!
Kwasasa nani ataweza kum'beba zaid ya Upinzani tu..
CCM itaangaika na Shemeji yake lkn sio yeye!!,,,,,,
The World is Living, Suffering is Your ChoiceNjaa unayo wewe unae Tete mafisadi ukitarajia kupewa pesa za bure pambana na Hali Yako