PreGE2025 Alichokosea Mchungaji Gwajima ni kuilenga Kamati ya Uteuzi ya Rais kwa Vyombo vya Ulinzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Gwajima ametoa mifano tu. Mifano yake mbona imewatisha sana?
 
"Mnufaika wa hayo yote ni rais" vyombo vya dola vinapokea amri kutoka kwa mteuzi wao,na mbaya zaidi kwa sasa hajifichi tena, Gwajima yuko sawa kabisa, "kuna genge limeundwa hata vyombo vya usalama vinaogopa kuligusa"
 

Unamlaumu Gwajima kwa kuwa na Busara na Hekima? That was the best way of presenting the problem, Gwajima sio Lisu!!! Na wewe unaruhusiwa kuja na version yako, ita press, kabla ujafanya hivyo, Gwajima stays the best!
 
Mkuu, wasipokuelewa kwa ufafanuzi huu, usiwafundishe tena.
 
2.)Hatua ya yeye askofu G kujitokeza tuu na kuonesha kuchukizwa na kukemea uovu ni hatua kubwa,ngumu na yakupongezwa...
Ni mtu mjinga tuu ndiyo atashindwa kuliona hilo!!
3.) Mawananchi mjinga Kudharau na kukosoa alichokifanya askofu ni kuwaambia viongozi wengine waendelee kula maisha maana hakuna fadhila hata tukisema.
3.) Penye uhuru wa mawazo huwezi kumtaka mtu aseme mawazo yako maana nawewe unachance yakutoka nakueleza hayo ufikiriayo wewe.
Labda ungesema kasema uongo tungeelewa lkn unataka aseme unachokitaka wewe? why?how? that's Rubbish!!
4.) Wametajwa polisi,mbunge,usalama wa taifa,waziri mkuu,Rais mpaka familia zao! Kulitaka atajwe nani Tena?
Tujifunze kuwa na fadhila na jambo lolote jema atendalo mtu.
Tabia ya kulalamika na kulialia huku huwezi kufanya lolote nimambo ya kifala saaana.
Pia kama shule ilikushinda huwezi jua impact ya alichokifanya Gwajima wewe unahisi ni mipasho so hajawachamba vizuri Sasa hayo peleka Kwa wamama wa uswahilini na sio kwenye press.
 
Gwajima kakuacha mbali sana. Kasome kuhusu Root Cause Analysis
 
Hahahaha masikini mnatabu sana endelea kushobokea mafisadi sababu njaa zinawasumbua🤣🤣🤣🤣🤣
We ndyo njaa/miserable life inakutesa, na una ujinga wa kitoto kuamini umaskini wako utamalizwa na wanasiasa/vyama vya siasa, imani yako ya kisiasa ni utopia
 
We ndyo njaa/miserable life inakutesa, na una ujinga wa kitoto kuamini umaskini wako utamalizwa na wanasiasa/vyama vya siasa, imani yako ya kisiasa ni utopia
Njaa unayo wewe unae Tete mafisadi ukitarajia kupewa pesa za bure pambana na Hali Yako
 
Sijasema ila kwa mfano tu mtoto wako akitekwa utajisikiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…