PreGE2025 Alichokosea Mchungaji Gwajima ni kuilenga Kamati ya Uteuzi ya Rais kwa Vyombo vya Ulinzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

View: https://youtu.be/WHnxlsWXiY0
 
Kura za NEC unajua Gwajima alipata kura Ngapi?
 
watz mafi sana wakukemea utekaji na mauaji ni Gwajima tu wengine wanafanya nini
 
Sasa kama ndiko kumetoboka ulitaka aseme nini?
 
Inasemekana Mwanaharati mwingine kapotezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…