tcu na nacte pumzikeni kidogo mpumue
wakuu
mwalimu wangu wa bios o level alikuwa anatuambia mambo ambayo hadi sasa sijapata majibu..najua kuna wajuzi humu mnisaidie
1. mtoto anaponyonya anapata hisia sawa na mtu mzima anapofanya ngono..na kadri anavyokua hisia hizo huhamia kwenye via vyake vya uzazi
2. mwanamke anaweza kuzaa bila mbegu ya mwanaume..alisema kuwa kazi kubwa ya sperm ni kustimulate cell division (nimesahau ni kwenye stage ipi) na hivyo kikipatikana kitu cheye uwezo wa kufanya hivo mimba inatungwa...

Kwa maelezo yake atapata raha kama MTU aliyetoka kugegedwa!!hahahahaha sasa kama huyo mtoto akiwa ni wa kike atapata hisia za usagaji??!
Ni kweli kabisa mama kupata hisia wakati mtoto ananyonya,Ila mtoto yeye anafurahia utamu wa lishe ya maziwa.Halafu akina mama wanaonyonyesha wapo kibao wanaweza kutoa jibu kuliko kuandikia mate.mmmm mawewe ungemuuliz hivi aliwahi kumuuliza mtoto kua anaskia iyo raha mambo mengne ni ubabaishaji tu...