Alichoniambia mwalimu wangu wa biology O-level ni kweli?

Alichoniambia mwalimu wangu wa biology O-level ni kweli?

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
TCU na NACTE pumzikeni kidogo mpumue

Wakuu mwalimu wangu wa bios o level alikuwa anatuambia mambo ambayo hadi sasa sijapata majibu..najua kuna wajuzi humu mnisaidie

1. Mtoto anaponyonya anapata hisia sawa na mtu mzima anapofanya ngono..na kadri anavyokua hisia hizo huhamia kwenye via vyake vya uzazi

2. Mwanamke anaweza kuzaa bila mbegu ya mwanaume..alisema kuwa kazi kubwa ya sperm ni kustimulate cell division (nimesahau ni kwenye stage ipi) na hivyo kikipatikana kitu cheye uwezo wa kufanya hivo mimba inatungwa...
 
mmmm mawewe ungemuuliz hivi aliwahi kumuuliza mtoto kua anaskia iyo raha mambo mengne ni ubabaishaji tu...
 
tcu na nacte pumzikeni kidogo mpumue

wakuu
mwalimu wangu wa bios o level alikuwa anatuambia mambo ambayo hadi sasa sijapata majibu..najua kuna wajuzi humu mnisaidie

1. mtoto anaponyonya anapata hisia sawa na mtu mzima anapofanya ngono..na kadri anavyokua hisia hizo huhamia kwenye via vyake vya uzazi

2. mwanamke anaweza kuzaa bila mbegu ya mwanaume..alisema kuwa kazi kubwa ya sperm ni kustimulate cell division (nimesahau ni kwenye stage ipi) na hivyo kikipatikana kitu cheye uwezo wa kufanya hivo mimba inatungwa...

Mweeh kama sperm haiungani na ovum inakuaje zile chromosome 23 za kwenye ovum zinadouble?
 
Hiyo ya pili ni uongo mkuu alikuongopea yai la kike ovum lazima iungane na sperms yaani fertilization bila hivo mtoto hawezi tokea maana kuna hatua nyingi baada ya hapo mpaka kipatikane kijusi foetus

hilo sio yai la kuku na lenyewe bila jogoo huwezi pata kifaranga hata kuku ahatamie muda gani
 
Inawezekana kuwa wewe umechanganya maarifa ya kuambiwa na yale ya kwako.Hakuna mwalimu ambaye yuko well trained ,anaweza kupotosha kiasi hicho,unless unamaanisha wale div five wanaokufundisheni tuition mitaani.
 
tcu na nacte pumzikeni kidogo mpumue

wakuu
mwalimu wangu wa bios o level alikuwa anatuambia mambo ambayo hadi sasa sijapata majibu..najua kuna wajuzi humu mnisaidie

1. mtoto anaponyonya anapata hisia sawa na mtu mzima anapofanya ngono..na kadri anavyokua hisia hizo huhamia kwenye via vyake vya uzazi

2. mwanamke anaweza kuzaa bila mbegu ya mwanaume..alisema kuwa kazi kubwa ya sperm ni kustimulate cell division (nimesahau ni kwenye stage ipi) na hivyo kikipatikana kitu cheye uwezo wa kufanya hivo mimba inatungwa...

Kuhusu hiyo point ya kwanza pengine mwalimu wako hakukuelezeni kwa undani zaidi kwa sababu ya level ya elimu yako kwa kipindi hicho ila ukweli ni kuwa hoja hiyo ipo na ilitolewa kwa mara ya kwanza na mtaalam mmoja wa maswala ya psychology anaitwa Sigmund Freud kupitia theory yake aliyoiita "Psychoanalytic theory" katika theory hiyo anaelezea stages za human personality development ambazo yeye aliziita psychosexual stages. Stage ya kwanza aliita Oral stage (0-1 yr) according to Sigmund Freud raha anayoipata mtoto wakati anapokuwa ananyonya ni sawa na raha anayoipata mtu mzima anapokuwa anakula au analiwa papuchi.

Mtoto asipo-enjoy vizuri hii stage atakapokuwa mkubwa huenda akawa muongeaji sana kama walivyo ma-Mcs, akawa mtu wa kupenda sana kutafuna bigGee kama Sir Alex Ferguson, kunyonya vidole, kuweka vitu mdomoni ikiwa ni pamoja na kuvuta sigara, kupenda kula kula hovyo na mambo mengine kama hayo.
 
Ila mimi kwa uzoefu. No 1 naweza kukubali. Maana ukikuta mtoto ananyonya mwengine ananyanyua mgu ju hadi kichwani kwamamaake, mwengine anavuta nywele zake au za mamaake. Kwahiyo yote inaonyesha utamu waju. That's why akishiba vizuri analala kama kwamtu ametoka kupiga game kulala
 
hahahahaha sasa kama huyo mtoto akiwa ni wa kike atapata hisia za usagaji??!
 
Hana utofauti na mwalimu aliye tufundisha akaandika ubao mzma badae akasema sorr nmekosea ko akafuta na kuanza upya., alimaanisha hata kile tulicho kiingiza kichwan tukifute tuanze na kipya
 
mmmm mawewe ungemuuliz hivi aliwahi kumuuliza mtoto kua anaskia iyo raha mambo mengne ni ubabaishaji tu...
Ni kweli kabisa mama kupata hisia wakati mtoto ananyonya,Ila mtoto yeye anafurahia utamu wa lishe ya maziwa.Halafu akina mama wanaonyonyesha wapo kibao wanaweza kutoa jibu kuliko kuandikia mate.
 
Ni kipindi gani alikufundishebi hivyo..

Isije kuwa ni kipindi hiki kigumu ambapo utakuta mwl anafundisha kuwa tz kuna komandoo mmoja wa kike ambaye ana wimbo wake wa ndi..
 
Back
Top Bottom