Alichonifanyia bi dada niliyekutana naye social network ulikuwa unyama

Mwanaume utataka vp kulala kwa mwanamke bana, aje alale kwako au mlale lodge.. huu mwaka unaanza je mbona sielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusafiri umbali wote huo kisa demu?
Una moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alitakiwa aniambie miiko ya kwao. Kwetu upareni huwa tunalala nyumba moja na mamkwe. Sisi tunapewa room ya mbele karibu na mamkwe. Bamkwe yeye hulala nyumba ya mbali kidogo.
Sasa nyie mnaosema ati ni mkosi si angeliniambia nimkaribishe kwetu? Halafu linaonesha wala sio litamu
 
😁😁😁😁 sioni tatizo la mdada,wewe ndio shida ilibidi uvumilie hadi kesho
 
Hahaaaaa kuwa makin mzee baba utakuja kuvishwa shelaa,,ciku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…