JM K
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 616
- 545
Mwanaume utataka vp kulala kwa mwanamke bana, aje alale kwako au mlale lodge.. huu mwaka unaanza je mbona sielewi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miezi mitatu iliyopita,ulikuwa mwezi wa septemba mwaka 2018 katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na bi dada,tukabadilishana namba tukawa tunachart......kupigiana sim kila mara...baby umekula,unafanya nini,njoo tulale...nakadhalika na kadhalika
Baadaye nikamwambia naomba nije kukusalimia......bi dada akakubali,basi nikafungasha safari km 800 kumsalimia...siyo siri alinipokea kwa furaha pale stend hadi kuni-hug.....nikasuzika moyo nikafikiria leo nitaenjoy....
Ilipofika muda wa jioni.....nikadhani nitalala na bi dada anitoe uchovu loh!
Mambo yakabadilika,bi dada akasimama na msimamo kuwa siku ya kwanza asingelala na mimi,niende kulala mwenyewe lodge au aniachie chumba chake nilale.....siyo siri nilichoka akili,nikajiuliza nitawezaje kulala mwenyewe na huku tukiwa tunachart na bi dada huwa tunachart mpaka morning glory, iweje leo anikatae tusilale pamoja?......siyo siri niliona bora nikalale kusikojulikana
Bi dada nimeuona uzi wako ukidai kwa nini sikuvumilia....lakini sikuweza kuvumilia kwa sababu kabla ya kuja kwako ulikubali kuwa tungelala kitanda kimoja hata kama tusinge-du siku hiyo...pia nilihitaji tupige stori usiku ule ningewezaje kulala mwenyewe bi dada???
Wanawake muwe na huruma....angalia safari aliyotembea kukufuata...muda wake,wanawake wangapi amewaacha kwa kila mita 100 ni zaidi ya 300, pesa alizotumia halafu anafika kwako unamchenjia siyo vizuri,siyo siri usiku ule sikulala,nilikaa stendi mpaka asubuhi nikiwaza dunia inachonitendea
Sent using Jamii Forums mobile app
Alitakiwa aniambie miiko ya kwao. Kwetu upareni huwa tunalala nyumba moja na mamkwe. Sisi tunapewa room ya mbele karibu na mamkwe. Bamkwe yeye hulala nyumba ya mbali kidogo.Sasa kwanini na wewe usubirie mpaka usiku hivi Kuna mzazi timamu anaye ruhusu binti yake alalwe na stranger ambaye hajamuoa nyumbani kabisa. Hafu unasema eti muende migombani hivi unajua miiko ya makabila mengine kweli, eti mkalale shambani sio kwa mzee wa kichaga hukuwa na adabu wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
kama ni wewe ninakusifu kwa msimamo, mwanamke usijifanyanya mbichi lazima uwe na msimamo ndipo mevtukuheshimu, ukipanua miguu day one tuna tabia ya kuwadharau...big up
wanaume wengi hawajui timing, huo mzigo ulishakwiva, angevumilia kiduchu angekwangua kiulaini lkn akawa na papara[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sioni tatizo la mdada,wewe ndio shida ilibidi uvumilie hadi kesho
uko sahihi, tumepewa kifua kuvumilia yoteMi nitazidi kusema mvumilivu hula mbivu,ila pole na umefanya vibaya kujibu uzi ule ungekaa kimya,wanaume huwa wanakaa kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
hili lakufanyia kazi[emoji106]Mi nadhani mlikuwa bado hamjakubaliana vizuri, jifunze kuwa papuchi haifuatwi bali inatumiwa nauli + ya kula njiani + ya nguo kujiweka sawa + ya emergency.
Kipi shem?
[emoji23][emoji23]si tulikubaliana lkn hakuna papuchi?
Kipi shem?
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji23][emoji23]si tulikubaliana lkn hakuna papuchi?
Acha umbea bas[emoji41][emoji41][emoji41]
Ulichonifanyia ni unyama kabisa, sitasahau....Acha umbea bas