Alichonifanyia bi dada niliyekutana naye social network ulikuwa unyama

Mi nadhani mlikuwa bado hamjakubaliana vizuri, jifunze kuwa papuchi haifuatwi bali inatumiwa nauli + ya kula njiani + ya nguo kujiweka sawa + ya emergency.
Siku zote huwa mnavaa nn
 
Pole sana mkuu so asbhi ilivofika kaanza safari tena kurudi home!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msuli wa mwanaume ukisimama, uwe wa akili kufikiria unakua chini ya nusu ya akili nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kilanga kimekuponza yani mtaani kwenu hujaona msichana hadi utafute wasichana wa kwenye mitandao.
 
Ningewezaje kukaa kimya....na huku ulisha haribu kila kitu...jilaum wewe mwenyew kwa kuanzisha uzi humu kuhusu hayo mambo

Ungekaa kimya tu...nimeshindwa kuvumilia



Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi nyote (cute love na cosovo) bado mna akili za kitoto sana
Wakati mtu anasafiri umbali huo ulikuwa unajua anakuja kukusalimi wewe umekuwa mgonjwa?
Pia,mlipozinguana kwanini hamkukaa kimya?
Ndoa zina mambo mengi sana na yenye kuhitaji hekima kubwa sana...ninyi nyote hakuna mtu aliyekomaa kiakili kati yenu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningewezaje kukaa kimya....na huku ulisha haribu kila kitu...jilaum wewe mwenyew kwa kuanzisha uzi humu kuhusu hayo mambo

Ungekaa kimya tu...nimeshindwa kuvumilia



Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha...basi mkumbushie, wasilianeni mpange upya. Bidada anasema alikuwa anataka uvumilivu wako, sasa umeshajua. Anza tena kwa kasi ya 4G+[emoji2] [emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningewezaje kukaa kimya....na huku ulisha haribu kila kitu...jilaum wewe mwenyew kwa kuanzisha uzi humu kuhusu hayo mambo

Ungekaa kimya tu...nimeshindwa kuvumilia



Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pole sana lakini pia ungekausha tu mzee baba hujui ni jambo gani limekuepuka

.
 
cutelove ndio uweke mambo hadharani,kama mlikubaliana mtalala kitanda kimoja hata kama hamta du,nn kilipelekea ukamtoa mshikaji akalale lodge

maana sioni logic mshikaji asafiri km 800 then akalale lodge,hata alipotoka kuna lodge

au uligundua ni kaka yako maana ulimtenga mazima

nimeumia sana,kamanda cossovo ajali kazini usikate tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…