Alichonifanyia bi dada niliyekutana naye social network ulikuwa unyama

Alichonifanyia bi dada niliyekutana naye social network ulikuwa unyama

Mkuu sijaona unacholalama mwanamke hawezi kulala na wewe siku ya kuonana...mimi niliwahi kwenda tabora kutokea dar mwaka 2016 nilifika kule mwanamke anakanipokea akanijali sana ila usiku akasema nikalale lodge nikaenda ikawa siku ya kwanza siku ya pili ya tatu pesa ikaisha akassma tulale wote tukalal na hakuna kitu tulifanya zaidi ya kuishika suruali aliyolala nayo nilikaa wiki sikuambulia hata busu ila nilivyoondoka tukaendelea kuwasiliana nikazidi kuaminiwa zaidi binti akaja yeye tukasex rasmi za kutosha tukadumu miaka mi3 mapenzi yakafa msiwe na Haraka jamani mapenzi ni hisia so kuchat tupu hakuwezi kumjenga akupe mwili wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndoo uanaume! Safi saana Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshukuru Mungu haikuwa Moshi. Ungelala pale stand ndio ungekuja tusimulia mengine. Umenikumbusha mengi. Nikamkumbuka aliyenialika kwao home kabisa. Wazazi wakanibariki na kunipa ruksa kulala chumba jirani naye. Usku si nika crow ka nyoka nikaingia. Dah! Alikuwa kavaa suruali jeans, nadhani ni 2. Halafu miguu kaibana utadhani kawekewa gundi. Nikapambana hadi karibia kukuche. Kwa hasira nikamwagia juu ya jeans zake nikaondoka kabla jua kuchomoza. Nakutanaga naye japo leo kaolewa na mimi nishaoa ila siisahau siku ile. Dah!
 
Hahaaaaa ukome yani unataka kuzini kwa familia ya mkeo. Nyie wanaume hamujuagi tu hisia zetu mkipewa mwatuita malaya mkinywa shida loh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi ni moja wapo wa waliokupa hongera kwa maamuzi uliuofanya ulikuwa sahihi kabisa,kwani mkilala pamoja lazima ule papuchi hata stori pia ni muhimu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaaa ukome yani unataka kuzini kwa familia ya mkeo. Nyie wanaume hamujuagi tu hisia zetu mkipewa mwatuita malaya mkinywa shida loh

Sent using Jamii Forums mobile app
We kama upo hivyo ni wa hovyo kweli kweli. Umdanganye mtu, afunge safari kutoka hukooo hadi kwako. Umkalishe tangu saa 8 hadi 4 usiku huku ukijua hakuna usafiri tena kutoka kijijini kwenu. Halafu useme ati Unataka kuzini kwetu. Huko kwenu kukoje? Hakuna kitanda? Si tungetoka tukaenda hata mashambani usiku ule ka hicho kitanda chako hutaki nikufumulie hapo? Umeniudhi sana. Si ajabu ni weye au dadako aliyenifanyia hayo
 
Sasa kwanini na wewe usubirie mpaka usiku hivi Kuna mzazi timamu anaye ruhusu binti yake alalwe na stranger ambaye hajamuoa nyumbani kabisa. Hafu unasema eti muende migombani hivi unajua miiko ya makabila mengine kweli, eti mkalale shambani sio kwa mzee wa kichaga hukuwa na adabu wewe
We kama upo hivyo ni wa hovyo kweli kweli. Umdanganye mtu, afunge safari kutoka hukooo hadi kwako. Umkalishe tangu saa 8 hadi 4 usiku huku ukijua hakuna usafiri tena kutoka kijijini kwenu. Halafu useme ati Unataka kuzini kwetu. Huko kwenu kukoje? Hakuna kitanda? Si tungetoka tukaenda hata mashambani usiku ule ka hicho kitanda chako hutaki nikufumulie hapo? Umeniudhi sana. Si ajabu ni weye au dadako aliyenifanyia hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miezi mitatu iliyopita,ulikuwa mwezi wa septemba mwaka 2018 katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na bi dada,tukabadilishana namba tukawa tunachart......kupigiana sim kila mara...baby umekula,unafanya nini,njoo tulale...nakadhalika na kadhalika.
Baadaye nikamwambia naomba nije kukusalimia......bi dada akakubali,basi nikafungasha safari km 800 kumsalimia...siyo siri alinipokea kwa furaha pale stend hadi kuni-hug.....nikasuzika moyo nikafikiria leo nitaenjoy....
Kama upo dsm km800 ni Babati, Tabora au Mbeya all that distance kumfata mtu usiyemjua!!..
My mentor used to say "Nyama ni ile ile aina moja, mabucha tofauti!"..
 
Mi nitazidi kusema mvumilivu hula mbivu,ila pole na umefanya vibaya kujibu uzi ule ungekaa kimya,wanaume huwa wanakaa kimya

Sent using Jamii Forums mobile app

atakuwa mwanaume wa Dar huyo aliye na vinasaba vya Dar, maana wanaume wa Dar tutokeao mikoani hatunaga muda wa kujibu nyuzi kama hizo kwa kulia lia
 
Back
Top Bottom