Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mkuu
Na kwako pia mkuu.
Wacha bhanaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kikiii tu....cosovo ndo huyo huyo cutelove kaja na ID ingine
Nilivyokimbia kiba100 eee nsamehe sanaUlichonifanyia ni unyama kabisa, sitasahau....
Bahati nzuri ulikimbia na Chupi mkononi, naendelea kubaki mshindi hapo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nilivyokimbia kiba100 eee nsamehe sana
Kaka hana subiraMi nitazidi kusema mvumilivu hula mbivu,ila pole na umefanya vibaya kujibu uzi ule ungekaa kimya,wanaume huwa wanakaa kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana jamaa alienda mikono mitupu,hahaa angeenda tuu na chipsi take away angekula vyote...tatizo lako hukumpa pesa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bahati nzuri ulikimbia na Chupi mkononi, naendelea kubaki mshindi hapo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kunyimwa kunaumaHahaaaaa ukome yani unataka kuzini kwa familia ya mkeo. Nyie wanaume hamujuagi tu hisia zetu mkipewa mwatuita malaya mkinywa shida loh
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiye yule ulikuwa kwa CuteloveMiezi mitatu iliyopita,ulikuwa mwezi wa septemba mwaka 2018 katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na bi dada,tukabadilishana namba tukawa tunachart......kupigiana sim kila mara...baby umekula,unafanya nini,njoo tulale...nakadhalika na kadhalika
Baadaye nikamwambia naomba nije kukusalimia......bi dada akakubali,basi nikafungasha safari km 800 kumsalimia...siyo siri alinipokea kwa furaha pale stend hadi kuni-hug.....nikasuzika moyo nikafikiria leo nitaenjoy....
Ilipofika muda wa jioni.....nikadhani nitalala na bi dada anitoe uchovu loh!
Mambo yakabadilika,bi dada akasimama na msimamo kuwa siku ya kwanza asingelala na mimi,niende kulala mwenyewe lodge au aniachie chumba chake nilale.....siyo siri nilichoka akili,nikajiuliza nitawezaje kulala mwenyewe na huku tukiwa tunachart na bi dada huwa tunachart mpaka morning glory, iweje leo anikatae tusilale pamoja?......siyo siri niliona bora nikalale kusikojulikana
Bi dada nimeuona uzi wako ukidai kwa nini sikuvumilia....lakini sikuweza kuvumilia kwa sababu kabla ya kuja kwako ulikubali kuwa tungelala kitanda kimoja hata kama tusinge-du siku hiyo...pia nilihitaji tupige stori usiku ule ningewezaje kulala mwenyewe bi dada???
Wanawake muwe na huruma....angalia safari aliyotembea kukufuata...muda wake,wanawake wangapi amewaacha kwa kila mita 100 ni zaidi ya 300, pesa alizotumia halafu anafika kwako unamchenjia siyo vizuri,siyo siri usiku ule sikulala,nilikaa stendi mpaka asubuhi nikiwaza dunia inachonitendea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii tunaiita kujizolea umaarufu kwa kudandia sredi za watu [emoji16].Miezi mitatu iliyopita,ulikuwa mwezi wa septemba mwaka 2018 katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na bi dada,tukabadilishana namba tukawa tunachart......kupigiana sim kila mara...baby umekula,unafanya nini,njoo tulale...nakadhalika na kadhalika
Baadaye nikamwambia naomba nije kukusalimia......bi dada akakubali,basi nikafungasha safari km 800 kumsalimia...siyo siri alinipokea kwa furaha pale stend hadi kuni-hug.....nikasuzika moyo nikafikiria leo nitaenjoy....
Ilipofika muda wa jioni.....nikadhani nitalala na bi dada anitoe uchovu loh!
Mambo yakabadilika,bi dada akasimama na msimamo kuwa siku ya kwanza asingelala na mimi,niende kulala mwenyewe lodge au aniachie chumba chake nilale.....siyo siri nilichoka akili,nikajiuliza nitawezaje kulala mwenyewe na huku tukiwa tunachart na bi dada huwa tunachart mpaka morning glory, iweje leo anikatae tusilale pamoja?......siyo siri niliona bora nikalale kusikojulikana
Bi dada nimeuona uzi wako ukidai kwa nini sikuvumilia....lakini sikuweza kuvumilia kwa sababu kabla ya kuja kwako ulikubali kuwa tungelala kitanda kimoja hata kama tusinge-du siku hiyo...pia nilihitaji tupige stori usiku ule ningewezaje kulala mwenyewe bi dada???
Wanawake muwe na huruma....angalia safari aliyotembea kukufuata...muda wake,wanawake wangapi amewaacha kwa kila mita 100 ni zaidi ya 300, pesa alizotumia halafu anafika kwako unamchenjia siyo vizuri,siyo siri usiku ule sikulala,nilikaa stendi mpaka asubuhi nikiwaza dunia inachonitendea
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana.
Mbona kicheko rafiki?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Blaza mbona una mtoa bange mwenzioHuogopi hata magonjwa mzee baba ,unamjuaaje huyo mtu au ww anakujuaje,kwa nn msipme afya kwanza,naona yupo sahihi ,pili na ww upunguze tamaa,km 800 kufata papuchi bora ungeenda kusalimia wazee wako kijijini kwenu,shame on you guy,
Sent using Jamii Forums mobile app