Alichonitendea mke wangu sitosahau

Alichonitendea mke wangu sitosahau

Hongera kwa kuoa nurse mkuu, ni wanwake wazuri sana na wanajua kujali....kinachonifurahisha zaidi sijawahi ona anayedai haki sawa
 
Bila picha huu Uzi ni chai alisikika mpumbavu huko akisema
 
Asalaam,
Bila kupoteza mda, mimi na mke wangu tuna miaka kadhaa kwenye ndoa ila alhmdulillah ndoa imejaa mazuri meeeengi.

ila ya leo kiboko...
Tulipishana mida ya kuingia kazni yy aliingia usiku mm mchana tukakutana usiku mwingi asubuhi niliwahi ibadani mapema saana kushughulikia mambo flani bahati mbaya hatukua tumeandaa nguo kanisani mapema, sasa ghafla namuona mke wangu na watoto wamependeza wakija maeneo ya church.

nikamuuliza vip kuhusu mimi je uliniandalia nguo akaniambia hapana, basi sikujali baadae nikaenda home kubadili nguo ili nivae nguo rasmi.....
Kufika home
Daah nakuta bonge la suprise chumbani yaani nimenunuliwa bonge la boxer kali alafu nikaandikiwa maaneno mataamu kwenye kikaratasi...😍💖💝💘 "Natama ningepost namna boxer ilivyo na maneno aliyo yaandika...... "
Jambo hili limeamsha hisia kali saana na usiku huu ni kutikisa nyavu tuuu magoli nampigisha ya kimataifa.
"Mapenz ubunifu, mapenzi matamu ndoa tamu"
Samahani kwa usumbufu

Sorry kwakuwakwaza kwa starehe zangu
Daah, maisha yanaenda kasi sana. Now hatimae umeandika jinsi mkeo alivyokusaliti na mmeachana baada ya mazawadi yote haya. Ulimuamini sana na kumpenda sana ila ndo hivyo kaona agawe nje, pole mkuu utazoea maisha mapya najua inakuuma sana kabisa ila piga moyo konde.
 
Back
Top Bottom