Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
- Thread starter
- #41
Unazani wanawake zako unakulaga wasiojitambua sio??
hizo boksa kahongwa na mwanaume mwingine akuletee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizo boksa kahongwa na mwanaume mwingine akuletee
Ukute hiyo pesa ya mahemezi kahongwa na pedeshe mjini hapo halafu na wewe mzee baba unatumikishwa.
Duuuuh na yametokea kweli... Pole yake mkuuUkigongewa naomba pia uje anzisha thread
Hatari sanaaaaDuuuuh na yametokea kweli... Pole yake mkuu
Nilidhani kagongwa na wanahahahah mkuu nilidhani wifi yetu keshaharibu...lol
Soma Thread zake. Omba yasikukuteNilidhani kagongwa na wana
Wamemdinya mke wake na kaachwa kabisaNilidhani kagongwa na wana
Umeuona thread ya kugongewa??? We jamaa utakua mchawi mzeeUkigongewa naomba pia uje anzisha thread
Basi ukikumbuka mazuri haya na ukayapotezea madhaifu madogo madogo utahairisha talakaUmeuona thread ya kugongewa??? We jamaa utakua mchawi mzee
amkenii amkeniiii....leteni thread hiyooUmeuona thread ya kugongewa??? We jamaa utakua mchawi mzee
Kweli we jamaa mwanga ,😂😂😂amkenii amkeniiii....leteni thread hiyoo
Uko very positiveBasi ukikumbuka mazuri haya na ukayapotezea madhaifu madogo madogo utahairisha talaka
unataka kumpanga nmwenzioBasi ukikumbuka mazuri haya na ukayapotezea madhaifu madogo madogo utahairisha talaka
Hapana naona anavoenda kuvunja ndoa kisa papuchi ya mara moja wakati kuna mazuri mengi wamefanya yeye na familyunataka kumpanga nmwenzio
Hahah kuna watu hua hamuamini kabisamkuuu wekaa pichaa kwanza...
Daah, maisha yanaenda kasi sana. Now hatimae umeandika jinsi mkeo alivyokusaliti na mmeachana baada ya mazawadi yote haya. Ulimuamini sana na kumpenda sana ila ndo hivyo kaona agawe nje, pole mkuu utazoea maisha mapya najua inakuuma sana kabisa ila piga moyo konde.Asalaam,
Bila kupoteza mda, mimi na mke wangu tuna miaka kadhaa kwenye ndoa ila alhmdulillah ndoa imejaa mazuri meeeengi.
ila ya leo kiboko...
Tulipishana mida ya kuingia kazni yy aliingia usiku mm mchana tukakutana usiku mwingi asubuhi niliwahi ibadani mapema saana kushughulikia mambo flani bahati mbaya hatukua tumeandaa nguo kanisani mapema, sasa ghafla namuona mke wangu na watoto wamependeza wakija maeneo ya church.
nikamuuliza vip kuhusu mimi je uliniandalia nguo akaniambia hapana, basi sikujali baadae nikaenda home kubadili nguo ili nivae nguo rasmi.....
Kufika home
Daah nakuta bonge la suprise chumbani yaani nimenunuliwa bonge la boxer kali alafu nikaandikiwa maaneno mataamu kwenye kikaratasi...😍💖💝💘 "Natama ningepost namna boxer ilivyo na maneno aliyo yaandika...... "
Jambo hili limeamsha hisia kali saana na usiku huu ni kutikisa nyavu tuuu magoli nampigisha ya kimataifa.
"Mapenz ubunifu, mapenzi matamu ndoa tamu"
Samahani kwa usumbufu
Sorry kwakuwakwaza kwa starehe zangu
unabii umetimiaUkigongewa naomba pia uje anzisha thread