Na Chagga amemjibu ila amefuta...Zari mgomvi sana.(chagga anaishi Marekani)Ngojeni niwape ubuyu;iko hivi...kama mnamjua yule Mtanzania mwenzetu mwanadada anayeishi uingereza wa kujiita Chaggabarbie... (msiniulize kazi yake)ambaye aliwahi kumrusha roho Zari kwa kutoka na Ex wake (Ivan)....
Inasemekana Ivan alitoka na mdogo wake Chagga.
Hivyo Zari kupost ile picha ni dongo kwa Chagga wetu kuwa hainaga ushemeji tunakulaga (mdogo wake Chagga kutoka na Ivan)
Mpoooooo?
Kitu huelewi unauliza,umbea utapewa bila kulipishwa.Tatizo la kuzaa na mtu aliyeshindikana na mme wake
Mhhhhhh hujapiga screenshot? Kama hujachukua hufai.Na Chagga amemjibu ila amefuta...Zari mgomvi sana.(chagga anaishi Marekani)
Tooooba!! Kaaazi kweli kweli!!!Ngojeni niwape ubuyu;iko hivi...kama mnamjua yule Mtanzania mwenzetu mwanadada anayeishi Marekani wa kujiita Chaggabarbie... (msiniulize kazi yake)ambaye aliwahi kumrusha roho Zari kwa kutoka na Ex wake (Ivan)....
Inasemekana Ivan alitoka na mdogo wake Chagga.
Hivyo Zari kupost ile picha ni dongo kwa Chagga wetu kuwa hainaga ushemeji tunakulaga (mdogo wake Chagga kutoka na Ivan)
Mpoooooo?
wambea mpooooo......Ngojeni niwape ubuyu;iko hivi...kama mnamjua yule Mtanzania mwenzetu mwanadada anayeishi Marekani wa kujiita Chaggabarbie... (msiniulize kazi yake)ambaye aliwahi kumrusha roho Zari kwa kutoka na Ex wake (Ivan)....
Inasemekana Ivan alitoka na mdogo wake Chagga.
Hivyo Zari kupost ile picha ni dongo kwa Chagga wetu kuwa hainaga ushemeji tunakulaga (mdogo wake Chagga kutoka na Ivan)
Mpoooooo?
Ubuyu wa kiponda huu kule znz mtaam balaaNgojeni niwape ubuyu;iko hivi...kama mnamjua yule Mtanzania mwenzetu mwanadada anayeishi Marekani wa kujiita Chaggabarbie... (msiniulize kazi yake)ambaye aliwahi kumrusha roho Zari kwa kutoka na Ex wake (Ivan)....
Inasemekana Ivan alitoka na mdogo wake Chagga.
Hivyo Zari kupost ile picha ni dongo kwa Chagga wetu kuwa hainaga ushemeji tunakulaga (mdogo wake Chagga kutoka na Ivan)
Mpoooooo?
Msanii wa bongo fleva ananunua nyumba South maana kachoka kufikia hotelini kila akienda kumuona mtoto.Hivi huyo mama uko South Africa anamjengo au yuko kwa huyo baba watoto wake na huyu msanii wa bongo fleva inamaana anashindwa kumuhudumia huyo mama hapa bongo wakatunza mtoto wao?
Tupooooo japo sasa hivi tumevuta break sababu ya UKUTA.w
wambea mpooooo......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ubuyu wa kiponda huu kule znz mtaam balaa