me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
Baada ya siku za hivi karibuni kudaiwa kutokuwa na maelewano mazuri Kati ya Zari na diamond, Leo zari kapost picha ya x hubby wake akiwa na mdogo wake na kuandika"Hainaga ushemeji tunakulaga" Mimi hili la ushemeji ndo limeniacha hoi asee.
Time will tell.. Nimeweka screen shot hapo 
Time will tell.. Nimeweka screen shot hapo