Alichopost Zari instagram

Alichopost Zari instagram

me and I

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
1,540
Reaction score
1,357
Baada ya siku za hivi karibuni kudaiwa kutokuwa na maelewano mazuri Kati ya Zari na diamond, Leo zari kapost picha ya x hubby wake akiwa na mdogo wake na kuandika"Hainaga ushemeji tunakulaga" Mimi hili la ushemeji ndo limeniacha hoi asee.
Time will tell.. Nimeweka screen shot hapo 
 
Ngojeni niwape ubuyu;iko hivi...kama mnamjua yule Mtanzania mwenzetu mwanadada anayeishi Marekani wa kujiita Chaggabarbie... (msiniulize kazi yake)ambaye aliwahi kumrusha roho Zari kwa kutoka na Ex wake (Ivan)....
Inasemekana Ivan alitoka na mdogo wake Chagga.
Hivyo Zari kupost ile picha ni dongo kwa Chagga wetu kuwa hainaga ushemeji tunakulaga (mdogo wake Chagga kutoka na Ivan)
Mpoooooo?
 
Ngojeni niwape ubuyu;iko hivi...kama mnamjua yule Mtanzania mwenzetu mwanadada anayeishi uingereza wa kujiita Chaggabarbie... (msiniulize kazi yake)ambaye aliwahi kumrusha roho Zari kwa kutoka na Ex wake (Ivan)....
Inasemekana Ivan alitoka na mdogo wake Chagga.
Hivyo Zari kupost ile picha ni dongo kwa Chagga wetu kuwa hainaga ushemeji tunakulaga (mdogo wake Chagga kutoka na Ivan)
Mpoooooo?
Na Chagga amemjibu ila amefuta...Zari mgomvi sana.(chagga anaishi Marekani)
 
Ngojeni niwape ubuyu;iko hivi...kama mnamjua yule Mtanzania mwenzetu mwanadada anayeishi Marekani wa kujiita Chaggabarbie... (msiniulize kazi yake)ambaye aliwahi kumrusha roho Zari kwa kutoka na Ex wake (Ivan)....
Inasemekana Ivan alitoka na mdogo wake Chagga.
Hivyo Zari kupost ile picha ni dongo kwa Chagga wetu kuwa hainaga ushemeji tunakulaga (mdogo wake Chagga kutoka na Ivan)
Mpoooooo?
Tooooba!! Kaaazi kweli kweli!!!
 
wambea mpooooo......
 
Ubuyu wa kiponda huu kule znz mtaam balaa
 
Hivi huyo mama uko South Africa anamjengo au yuko kwa huyo baba watoto wake na huyu msanii wa bongo fleva inamaana anashindwa kumuhudumia huyo mama hapa bongo wakatunza mtoto wao?
Msanii wa bongo fleva ananunua nyumba South maana kachoka kufikia hotelini kila akienda kumuona mtoto.
WTF?
Maisha mengine bwana complicated sana.
 
Hata hivyo hii ni kick ya hiyo party ya all black everything atakayo host Zari.
Party zake za All White zimebuma sasa anaenda kuhost za wenzie...
Halooooo [emoji108][emoji108]
 
Back
Top Bottom