Alichopost Zari instagram

sijui hajaelewa kauli..
inamana ivan kamgonga na huyo zuleha na yeye kaafiki
 
chaga beby saivi kachoka akisuka yebo mwezi...
mdogo ake anatumiaje instagram..
lakini bado zari hakua na ruhusa ya kusema hainaga ushemeji/ haileti maana...
labda zari na rommy
au rommy na wema
lakini katumia hio picha ya x wake kama bosheni
 
Mkuu acha uongo cheki hii pic hapa mbona zari hayupo[emoji15][emoji15][emoji15][emoji116]
 
Ahsante Nifah nmejiuliza weeee toka asubuhi hii imekaaje, nkaenda kwa page ya Mange nkakutana na majibu ya wadau wake kila mtu anaropoka kivyake mara kampiga ndongo Diamond,mara cjui nn, lkn baada ya muda nkaenda kwa Dimondo nkakuta kampost mwanamke wake ,nikabaki nang'aa macho tu afadhali umenitegulia kitendawili
 
Hahahaaa kumbe bas saw a, nilijua anamkomoa dai
 
Hata hivyo hii ni kick ya hiyo party ya all black everything atakayo host Zari.
Party zake za All White zimebuma sasa anaenda kuhost za wenzie...
Halooooo [emoji108][emoji108]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Nilichoelewa kwa zari diamond na ivan ni, zari yuko na diamond hawajaachana na hawana tatizo, meanwhile zari hana tatizo na baba wa watoto wake watatu, they are good friends ndo maana wanapostiana. Senks
 
Duh Nifah Upo vizuri kudadavua mambo
 
Afu kwa nn Mange anamtafuta sana zari ila zari hana time naye?
 
Nilichoelewa kwa zari diamond na ivan ni, zari yuko na diamond hawajaachana na hawana tatizo, meanwhile zari hana tatizo na baba wa watoto wake watatu, they are good friends ndo maana wanapostiana. Senks

Zama za mitandao ya kijamii ni rahisi sana kusababisha watu waseme na waje na kila aina ya masadikiko.

Ukiwa maarufu wewe rusha tu picha huko 'Gram...weka na maneno mawili matatu ambayo yanaweza kutafsiriwa tofauti tofauti na watu tofauti...basi.

Watu watahangaika wee....huyu atasema hivi...yule atasema vile...wale nao watahisi hivi...ili mradi tu.

Na hapo usikute [huenda] yeye mwenyewe alikuwa anataka watu wamuongelee tu na huko aliko anaangua vicheko na wenzake.

Talk about having a thing on a string!

Btw, happy Friday jirani.
 
Kweli aliyeachika hafai kuoa tena
 
Kweli kabisa anatafuta kiki ya ile party
 

Ni kweli kabisa.
Watu hawajui kuchukulia poa mambo simple wanashusha povu hata ikiwekwa nukta.

Happy Friday kwako pia[emoji4]
 
Mmmmm ubuyu wote hadharan asee
 
Hivi huyo mama uko South Africa anamjengo au yuko kwa huyo baba watoto wake na huyu msanii wa bongo fleva inamaana anashindwa kumuhudumia huyo mama hapa bongo wakatunza mtoto wao?
Diamond ana mjengo South Africa kama ulikua huna taarifa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…