Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Umbea huuwezi mkuu,tuachie wenyewe.Lkn mbona hiyo picha ya Huyo mdada hapo ambaye yupo na Ivan ni mdogo wake na zari?
Atakuwa Huyo Huyo ndo aliliwa bana
Dhaaaaaaa!!!!!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umbea huuwezi mkuu,tuachie wenyewe.Lkn mbona hiyo picha ya Huyo mdada hapo ambaye yupo na Ivan ni mdogo wake na zari?
Atakuwa Huyo Huyo ndo aliliwa bana
Dhaaaaaaa!!!!!!?
Hahahahaaa!!!Umbea huuwezi mkuu,tuachie wenyewe.
Achana nae hajui umbea mie nmekuelewa sana unajua kucheza na Code hatari kudosUmbea huuwezi mkuu,tuachie wenyewe.
Thank you hun [emoji11]Achana nae hajui umbea mie nmekuelewa sana unajua kucheza na Code hatari kudos
Sio mme wake sema mabwana zake maana ni wengi na hawajawahi kufunga ndoaTatizo la kuzaa na mtu aliyeshindikana na mme wake
Halafu anapenda Ngono ana tatizo la Sexual Desire iliyozidi by the way hebu tusikilize Nyimbo ya Marvin Gaye Sexual HealingSio mme wake sema mabwana zake maana ni wengi na hawajawahi kufunga ndoa
Mkuu duh!kwa namna hiyo ukute hata yule mtoto huyu mbongo fleva kabambikiwa maana anafanana na jemba iliyokuwa na mahusiano na huyo mamaSio mme wake sema mabwana zake maana ni wengi na hawajawahi kufunga ndoa
Mkuu mwisho Wa siku watu huwa wanachanganyikiwa kwa kutoaminiMkuu duh!kwa namna hiyo ukute hata yule mtoto huyu mbongo fleva kabambikiwa maana anafanana na jemba iliyokuwa na mahusiano na huyo mamaView attachment 388842View attachment 388843
Hii habari ya kweli etiii naomba prove msaada tutani makuuDiamond ana mjengo South Africa kama ulikua huna taarifa....
Kweli mdauHii habari ya kweli etiii naomba prove msaada tutani makuu
Nipe juice ya ukwaju nshushie mieMung'unya kwa raha zako mkuu...
Mnyonge mnyongeni lakin haki yake mpeni, tiffa ni copy ya diamond . huo mdomo ndo usisemeMkuu duh!kwa namna hiyo ukute hata yule mtoto huyu mbongo fleva kabambikiwa maana anafanana na jemba iliyokuwa na mahusiano na huyo mamaView attachment 388842View attachment 388843
Duh mm mgeni bnaNgojeni niwape ubuyu;iko hivi...kama mnamjua yule Mtanzania mwenzetu mwanadada anayeishi Marekani wa kujiita Chaggabarbie... (msiniulize kazi yake)ambaye aliwahi kumrusha roho Zari kwa kutoka na Ex wake (Ivan)....
Inasemekana Ivan alitoka na mdogo wake Chagga.
Hivyo Zari kupost ile picha ni dongo kwa Chagga wetu kuwa hainaga ushemeji tunakulaga (mdogo wake Chagga kutoka na Ivan)
Mpoooooo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari diamond cjui anajiskiaje halaf anaandika hainaga ushemeji
who are you asyee?yaani uko makini kufanya hizi follow up darasani ulikuwa unafanya the same?nchi ya viwanda naionaNgojeni niwape ubuyu;iko hivi...kama mnamjua yule Mtanzania mwenzetu mwanadada anayeishi Marekani wa kujiita Chaggabarbie... (msiniulize kazi yake)ambaye aliwahi kumrusha roho Zari kwa kutoka na Ex wake (Ivan)....
Inasemekana Ivan alitoka na mdogo wake Chagga.
Hivyo Zari kupost ile picha ni dongo kwa Chagga wetu kuwa hainaga ushemeji tunakulaga (mdogo wake Chagga kutoka na Ivan)
Mpoooooo?
who are you asyee?yaani uko makini kufanya hizi follow up darasani ulikuwa unafanya the same?nchi ya viwanda naiona
Ni mjanja mjanja sanaKumbe hata Ivan hawakuwahi kufunga ndoa pamoja na kuzaa midume mitatu yote ile, kweli nimeamin Zari ni Gold digger