Alichopost Zari instagram

Alichopost Zari instagram

Sio mme wake sema mabwana zake maana ni wengi na hawajawahi kufunga ndoa
Halafu anapenda Ngono ana tatizo la Sexual Desire iliyozidi by the way hebu tusikilize Nyimbo ya Marvin Gaye Sexual Healing

*I Got sick this morning
A sea was storming
Inside of me
Baby I think I'm capsizing
The waves are rising and rising
And when I get that feeling
I want sexual healing*
 
Sio mme wake sema mabwana zake maana ni wengi na hawajawahi kufunga ndoa
Mkuu duh!kwa namna hiyo ukute hata yule mtoto huyu mbongo fleva kabambikiwa maana anafanana na jemba iliyokuwa na mahusiano na huyo mama
1472321501761.jpg
1472321511640.jpg
 
Ngojeni niwape ubuyu;iko hivi...kama mnamjua yule Mtanzania mwenzetu mwanadada anayeishi Marekani wa kujiita Chaggabarbie... (msiniulize kazi yake)ambaye aliwahi kumrusha roho Zari kwa kutoka na Ex wake (Ivan)....
Inasemekana Ivan alitoka na mdogo wake Chagga.
Hivyo Zari kupost ile picha ni dongo kwa Chagga wetu kuwa hainaga ushemeji tunakulaga (mdogo wake Chagga kutoka na Ivan)
Mpoooooo?
Duh mm mgeni bna
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari diamond cjui anajiskiaje halaf anaandika hainaga ushemeji
 
Ngojeni niwape ubuyu;iko hivi...kama mnamjua yule Mtanzania mwenzetu mwanadada anayeishi Marekani wa kujiita Chaggabarbie... (msiniulize kazi yake)ambaye aliwahi kumrusha roho Zari kwa kutoka na Ex wake (Ivan)....
Inasemekana Ivan alitoka na mdogo wake Chagga.
Hivyo Zari kupost ile picha ni dongo kwa Chagga wetu kuwa hainaga ushemeji tunakulaga (mdogo wake Chagga kutoka na Ivan)
Mpoooooo?
who are you asyee?yaani uko makini kufanya hizi follow up darasani ulikuwa unafanya the same?nchi ya viwanda naiona
 
Back
Top Bottom