Angesubiri wenye fani yao kina Miss Natafuta watoe neno kwanza ndio nae asemeKitu huelewi unauliza,umbea utapewa bila kulipishwa.
Nadhani kwy hiyo sehemu alikua anamaanisha Sandton...kijitongoji safi sana,very classic kwa bata na wadada wazuri wazuriKabla hata hamjatafakari post ya zari, unakutana na post ya Diamond ikiwa na comments zao, yaani comment za Zari na za Diamond
View attachment 388145 View attachment 388146
Hahahaa, Nope...si rahisi ku guess wala kunifahamu labda kama tumekutana kila mtu na shughuli zake huko publix, au kroger lol...
Labor day nashuka South, Savannah nikapunguze kelele za mjini akilini .......wapi wewe
Me piaSikutarajia kama huku kuna kijiwe cha namna hii.
Uliza umbea uambiwe, usidandie treniTatizo la kuzaa na mtu aliyeshindikana na mme wake
Ngojeni niwape ubuyu;iko hivi...kama mnamjua yule Mtanzania mwenzetu mwanadada anayeishi Marekani wa kujiita Chaggabarbie... (msiniulize kazi yake)ambaye aliwahi kumrusha roho Zari kwa kutoka na Ex wake (Ivan)....
Inasemekana Ivan alitoka na mdogo wake Chagga.
Hivyo Zari kupost ile picha ni dongo kwa Chagga wetu kuwa hainaga ushemeji tunakulaga (mdogo wake Chagga kutoka na Ivan)
Mpoooooo?
Jamani sijuiiiiiiiiiii [emoji4][emoji4][emoji4]Hivi huwa unajua kuwa unapendwa na mm?
Zari hana time na Mange?Si bora ungeuliza tu kwanza kama ana muda nae au hana?Afu kwa nn Mange anamtafuta sana zari ila zari hana time naye?
Mung'unya kwa raha zako mkuu...Mmmmm ubuyu wote hadharan asee
Hapo sasa.kwani domo kaoa au anapga kisela na kutotolesha?
Ndio maanaInasemekana Ivan alitoka na mdogo wake Chagga.
Hivyo Zari kupost ile picha ni dongo kwa Chagga wetu kuwa hainaga ushemeji tunakulaga (mdogo wake Chagga kutoka na Ivan)
Mpoooooo?
Du sikuwezi, itabidi upandishwe cheoπππNgojeni niwape ubuyu;iko hivi...kama mnamjua yule Mtanzania mwenzetu mwanadada anayeishi Marekani wa kujiita Chaggabarbie... (msiniulize kazi yake)ambaye aliwahi kumrusha roho Zari kwa kutoka na Ex wake (Ivan)....
Inasemekana Ivan alitoka na mdogo wake Chagga.
Hivyo Zari kupost ile picha ni dongo kwa Chagga wetu kuwa hainaga ushemeji tunakulaga (mdogo wake Chagga kutoka na Ivan)
Mpoooooo?
ukitaka kumjua zari nenda istagram kwa thecelebchronicles ni waganda wanamjua mwanzo mwisho utashangaaMung'unya kwa raha zako mkuu...
Hapo sasa.
Jisogeze sogeze kwangu kuna nyumba tumeuza Ilala hera inatoka wiki ijayo ntakuwa nipo vzr nimekutunuku nisaidie kutumia utakuwa zaidi ya ZariJamani sijuiiiiiiiiiii [emoji4][emoji4][emoji4]
Yalaaaaaa ukisikia kulala masikini kuamka tajiri ndio hii.Jisogeze sogeze kwangu kuna nyumba tumeuza Ilala hera inatoka wiki ijayo ntakuwa nipo vzr nimekutunuku nisaidie kutumia utakuwa zaidi ya Zari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nicheki PM uniambie in details mkuu.Halafu Nifah kuna sehemu nilikuona sijui Kama. Ni Wewe au[emoji41]