Alichopost Zari instagram

Alichopost Zari instagram

Hahahaa, Nope...si rahisi ku guess wala kunifahamu labda kama tumekutana kila mtu na shughuli zake huko publix, au kroger lol...
Labor day nashuka South, Savannah nikapunguze kelele za mjini akilini .......wapi wewe

Mi ntakuwepo mjini tu...labda ntaenda Avalon pale Crú Wine Bar....
 
Inasemekana Ivan alitoka na mdogo wake Chagga.
Hivyo Zari kupost ile picha ni dongo kwa Chagga wetu kuwa hainaga ushemeji tunakulaga (mdogo wake Chagga kutoka na Ivan)
Mpoooooo?[/QUOTE]
Ndio maana
Ngojeni niwape ubuyu;iko hivi...kama mnamjua yule Mtanzania mwenzetu mwanadada anayeishi Marekani wa kujiita Chaggabarbie... (msiniulize kazi yake)ambaye aliwahi kumrusha roho Zari kwa kutoka na Ex wake (Ivan)....
Inasemekana Ivan alitoka na mdogo wake Chagga.
Hivyo Zari kupost ile picha ni dongo kwa Chagga wetu kuwa hainaga ushemeji tunakulaga (mdogo wake Chagga kutoka na Ivan)
Mpoooooo?

Hivi huwa unajua kuwa unapendwa na mm?
 
Afu kwa nn Mange anamtafuta sana zari ila zari hana time naye?
Zari hana time na Mange?Si bora ungeuliza tu kwanza kama ana muda nae au hana?
Zari anamfuatilia Mange sana tu...kipindi ambacho sakata la talaka ya Mange lilikuwa hot mbona alitupia mafumbo Snapchat?
Zari sio yule classic Lady wa zamani,sasa hivi kawa hovyo sana.
 
Inasemekana Ivan alitoka na mdogo wake Chagga.
Hivyo Zari kupost ile picha ni dongo kwa Chagga wetu kuwa hainaga ushemeji tunakulaga (mdogo wake Chagga kutoka na Ivan)
Mpoooooo?
Ndio maana

Hivi huwa unajua kuwa unapendwa na mm?[/QUOTE]
aiseeeeeee! :-D
 
Ngojeni niwape ubuyu;iko hivi...kama mnamjua yule Mtanzania mwenzetu mwanadada anayeishi Marekani wa kujiita Chaggabarbie... (msiniulize kazi yake)ambaye aliwahi kumrusha roho Zari kwa kutoka na Ex wake (Ivan)....
Inasemekana Ivan alitoka na mdogo wake Chagga.
Hivyo Zari kupost ile picha ni dongo kwa Chagga wetu kuwa hainaga ushemeji tunakulaga (mdogo wake Chagga kutoka na Ivan)
Mpoooooo?
Du sikuwezi, itabidi upandishwe cheo😀😀😀
 
FACT: mwanamke aliezalishwa na mwanamme mwenzako sio mwanamke wa kuweka ndani na kujitapa ni wako, Watakulaga tu siku zingine!
 
Mung'unya kwa raha zako mkuu...
ukitaka kumjua zari nenda istagram kwa thecelebchronicles ni waganda wanamjua mwanzo mwisho utashangaa
ila kama unachamba ni kiingereza tu ukienda na kiswahili chako unablokiwa
 
Please muwe mtuweka na subtle and previously wengine tumetoka kapa
 
Jisogeze sogeze kwangu kuna nyumba tumeuza Ilala hera inatoka wiki ijayo ntakuwa nipo vzr nimekutunuku nisaidie kutumia utakuwa zaidi ya Zari
Yalaaaaaa ukisikia kulala masikini kuamka tajiri ndio hii.
Naamka asubuhi napata habari njema namna hii?Mungu anipe nini mimi Nifah jamani?
Ndio nimeshaanza kujisogeza hivi mkuu...[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Back
Top Bottom