Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
GPA yake ya umbea itakua haijafika 3.5Umbea huuwezi mkuu,tuachie wenyewe.
Ndio maana nimempotezea tu.GPA yake ya umbea itakua haijafika 3.5
Lete lete mambo Mama Wa Ubuyu Nifah..Chezeyaaa Watu walishaanza yaoo. Diamond and Zari till the End.Ngojeni niwape ubuyu;iko hivi...kama mnamjua yule Mtanzania mwenzetu mwanadada anayeishi Marekani wa kujiita Chaggabarbie... (msiniulize kazi yake)ambaye aliwahi kumrusha roho Zari kwa kutoka na Ex wake (Ivan)....
Inasemekana Ivan alitoka na mdogo wake Chagga.
Hivyo Zari kupost ile picha ni dongo kwa Chagga wetu kuwa hainaga ushemeji tunakulaga (mdogo wake Chagga kutoka na Ivan)
Mpoooooo?
Chagga barbie Sijui..inatumia jina gani Insta nikajionee mambooNa Chagga amemjibu ila amefuta...Zari mgomvi sana.(chagga anaishi Marekani)
Na usirudi tena hapaaMi napita tu.Uwanja wa majungu
Wewe umepita huku kufanya nini?nashangaa kuona rundo la wanaume nao wapo kuchukua umbea duu wanaume wa kweli tupo wachache
Hii njemba si wanadai Wachina walilamba kifanyio huko china baada ya kuwaingiza mjiniMkuu duh!kwa namna hiyo ukute hata yule mtoto huyu mbongo fleva kabambikiwa maana anafanana na jemba iliyokuwa na mahusiano na huyo mamaView attachment 388842View attachment 388843
Asante kwa ubuyu...Ngojeni niwape ubuyu;iko hivi...kama mnamjua yule Mtanzania mwenzetu mwanadada anayeishi Marekani wa kujiita Chaggabarbie... (msiniulize kazi yake)ambaye aliwahi kumrusha roho Zari kwa kutoka na Ex wake (Ivan)....
Inasemekana Ivan alitoka na mdogo wake Chagga.
Hivyo Zari kupost ile picha ni dongo kwa Chagga wetu kuwa hainaga ushemeji tunakulaga (mdogo wake Chagga kutoka na Ivan)
Mpoooooo?
Karibu.Asante kwa ubuyu...
Nasirudi ndio. Kwa hisani ya watu wa marekaniNa usirudi tena hapaa