Alichopost Zari instagram

Alichopost Zari instagram

nashangaa kuona rundo la wanaume nao wapo kuchukua umbea duu wanaume wa kweli tupo wachache
 
Duh nimeingia choo cha kike huyoo zari sijui chaga ivan ata siwajui namjua diamond tu. Napita tuu.
 
Ngojeni niwape ubuyu;iko hivi...kama mnamjua yule Mtanzania mwenzetu mwanadada anayeishi Marekani wa kujiita Chaggabarbie... (msiniulize kazi yake)ambaye aliwahi kumrusha roho Zari kwa kutoka na Ex wake (Ivan)....
Inasemekana Ivan alitoka na mdogo wake Chagga.
Hivyo Zari kupost ile picha ni dongo kwa Chagga wetu kuwa hainaga ushemeji tunakulaga (mdogo wake Chagga kutoka na Ivan)
Mpoooooo?
Lete lete mambo Mama Wa Ubuyu Nifah..Chezeyaaa Watu walishaanza yaoo. Diamond and Zari till the End.
 
Ngojeni niwape ubuyu;iko hivi...kama mnamjua yule Mtanzania mwenzetu mwanadada anayeishi Marekani wa kujiita Chaggabarbie... (msiniulize kazi yake)ambaye aliwahi kumrusha roho Zari kwa kutoka na Ex wake (Ivan)....
Inasemekana Ivan alitoka na mdogo wake Chagga.
Hivyo Zari kupost ile picha ni dongo kwa Chagga wetu kuwa hainaga ushemeji tunakulaga (mdogo wake Chagga kutoka na Ivan)
Mpoooooo?
Asante kwa ubuyu...
 
Back
Top Bottom