Mkuu nimekusoma, si unaona hata picha ime-cover half the height of the house?Nyumba kama hii ukisimama kwa nje unakuwa unaizidi urefu. Kwa hiyo huwa zina basement floor. Yaani unaingia kwa kupinda mgongo, then ukishakudumbukia ndiyo inakuwa inakuzidi urefu. Zipo nyingi sana maeneo ya Dodoma, Makao Makuu ya Tanzania (kwa mujibu wa Ramani ya Africa).
Watanzania Amkeni jamani!! Kwa nini munakubali kuwa masikini wa fikra???
Hivi kuna uhusiano gani kati ya ngome za CCM na sehemu zenye umaskini uliopitiza??
Some zuri la kufanya utafiti!
jamanii ehh,i once were mwalimu wa moja wapo ya shule za kata nnlivyo iona hii picha imenikumbusha same house niliyopewa kuishi siku nilipoenda kuriport kazini the only difference ile ilikuwa kubwa kidogo kuliko hii...i hate tosay it lakini after two months without being paid na working conditions ilibidi ni quit...
uwezo wako wakufikili mdogo wewe! Pole sana!ngarama za kampeni zinatokana na uwezo wa chama. Sikumsikia slaa akisema mbowe asitumie helicopter 2005 kuwafikia wapiga kura na badala yake ajenge shule. Licha ya uwezo mdogo wa kifedha
basi na chadema pesa wanazotumia kufanya kampeni, wazitumie kujenga shule...
Don't be fooled by politicians...
Ngarama za kampeni zinatokana na uwezo wa chama. Sikumsikia Slaa akisema Mbowe asitumie Helicopter 2005 kuwafikia wapiga kura na badala yake ajenge shule. Licha ya uwezo mdogo wa kifedha
Basi na Chadema pesa wanazotumia kufanya kampeni, wazitumie kujenga shule...
Don't be fooled by politicians...
Yaani thamani ya hiyo picha inazidi Hilo tembe