Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyumba kama hii ukisimama kwa nje unakuwa unaizidi urefu. Kwa hiyo huwa zina basement floor. Yaani unaingia kwa kupinda mgongo, then ukishakudumbukia ndiyo inakuwa inakuzidi urefu. Zipo nyingi sana maeneo ya dodoma, makao makuu ya tanzania (kwa mujibu wa ramani ya africa).
Watanzania amkeni jamani!! Kwa nini munakubali kuwa masikini wa fikra???
Uuuuuuuuuuuuuuwii!!!!!!!!!!!!Monduli pia kuko hivi
![]()
Ngarama za kampeni zinatokana na uwezo wa chama. Sikumsikia Slaa akisema Mbowe asitumie Helicopter 2005 kuwafikia wapiga kura na badala yake ajenge shule. Licha ya uwezo mdogo wa kifedha
Basi na Chadema pesa wanazotumia kufanya kampeni, wazitumie kujenga shule...
Don't be fooled by politicians...
Nimekupa thanx kwa vile inaonyesha wengi humu jamvini hata hawaelewi tunazungumzia nini tunaposema matumizi mabaya ya fedha za umma. Sasa kama kuna mtu anaweza ku type keyboard yake na jambo kama hili hawezi kuelewaj ee yule anayeishi kwenye kibanda kama kile itakuwaje? DOUGLAS SALLU, Hata humu JF wako mbumbumbu sana kuliko wengi wanavyo tarajia. Na hawa wa humu ambao wanajua kusoma na kuandika ndio wabaya kwelikweli kwa vile ndio wapotoshaji na wanadhani kuwa wanajua kumbe hawajui.Jaribu kuelewa hoja ya Dr Slaa,fedha anayozungumzia ni fedha iliyochotwa ikulu na siyo ya CCM ambayo ni kodi zetu, sasa wewe unapozungumzia kampeni za Chadema kwani wao Chadema wanakusanya kodi?
aaaah huku hakuwezi kuwa kwa waziri mkuu mstafuuuu bwanauuuuuuuuuuuuuuwii!!!!!!!!!!!!
That is an insult
Nyumba kama hii ukisimama kwa nje unakuwa unaizidi urefu. Kwa hiyo huwa zina basement floor. Yaani unaingia kwa kupinda mgongo, then ukishakudumbukia ndiyo inakuwa inakuzidi urefu. Zipo nyingi sana maeneo ya Dodoma, Makao Makuu ya Tanzania (kwa mujibu wa Ramani ya Africa).
Watanzania Amkeni jamani!! Kwa nini munakubali kuwa masikini wa fikra???
Hapa ni kwa mtendaji
![]()