Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Alichosema hayati JPM sasa kimeenda kutimia maana sasa UVIKO-19 unakuwa ugonjwa tutaoishi nao katika jamii.
Hayati alisema mapema kama jamii tujiandae kuishi na hili gonjwa. Tujiandae
Sasa tunashudia hali ilivyo katika jamii yetu. Watu wanaugua, wengine wanapona na wengine Mungu anawachukua.
Jambo la msingi ni kuchukua tahadhari na kuzingatia kanuni za afya. Maana hili gonjwa lipo kwenye jamii na tunaishi nalo