#COVID19 Alichosema Hayati Magufuli kuhusu UVIKO-19 yametimia, sasa tutaishi nao katika jamii

#COVID19 Alichosema Hayati Magufuli kuhusu UVIKO-19 yametimia, sasa tutaishi nao katika jamii

Alisema hivyo baada ya kukataa uwepo wa Corona, mpaka alipoona hali inazidi kuwa mbaya ndio akakubali ipo bahati mbaya ikawa too late kwake.
Tusimlishe maneno, aliyasema hayo baada ya yeye kukataa lockdown ya miji mikubwa kama Dar, Arusha, Mwanza nk; point yake ilikua tutawafungia watu hadi lini ilihali gonjwa huenda tukawa nalo muda wote. Thank God kwasasa hakuna nchi duniani inayo amini katika lockdown
 
Alisema hivyo baada ya kukataa uwepo wa Corona, mpaka alipoona hali inazidi kuwa mbaya ndio akakubali ipo bahati mbaya ikawa too late kwake.

wewe mbuzi sana mkuu.samahani lakini
 
Alichosema hayati JPM sasa kimeenda kutimia maana sasa UVIKO-19 unakuwa ugonjwa tutaoishi nao katika jamii.

Hayati alisema mapema kama jamii tujiandae kuishi na hili gonjwa. Tujiandae

Sasa tunashudia hali ilivyo katika jamii yetu. Watu wanaugua, wengine wanapona na wengine Mungu anawachukua.

Jambo la msingi ni kuchukua tahadhali na kuzingatia kanuni za afya. Maana hili gonjwa lipo kwenye jamii na tunaishi nalo
Waliochanjwa wanakufa pia. Ila taarifa hazitolewi. Bado tunaamini katika chanjo.
 
Vile mwendakuzimu amefurahia uzi wako huu kutokea huko kuzimu.
AYrClH-.jpg
 
Hapana. Labda kama una ushahidi. Aliweza vipi kuitisha maombi kwa ugonjwa usiokuwapo? Maana yake alitambua upo na akahamasisha maombi. Hiyo ilikuwa firts wave na tukavuka. Na yupo katika record kabisa kuwa hata watoto wake waliugua.
njia ya kupambana na corona sio maombi ndiyo maana imemfyeka.
 
Jifunze kuona zuri kwa wengine hata kama hupendi ama hukubaliani nao. Kupingapinga ni ugonjwa ati.
Hatopata furaha adui kama asiyempenda anasifiwa..

Magufuli sijawahi kumchukia,
Japokuwa kuna mambo aliyabana lakini ilikuwa ndy njia ya kutunyoosha...


Mbuzi yake kamba,, vinginevyo atakula mazao ya watu.
 
Back
Top Bottom