UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Ungekuwa unaamini sayansi mkuu basi ungejua kwamba kunahitajika uchunguzi kuweza kujua chanzo cha kifo maana Magufuli hakufia kwenye accident, ila wewe mkuu umejiamulia tu kusema chanzo cha kifo cha mtu pasina ushahidi wowote.Aisee huyu bush man amekufa kwa corona kwasababu hakuamini njia za kisayansi ndiyo maana ilifika hatua akampongeza paroko kwa kutokuvaa barakoa kanisani.