#COVID19 Alichosema Hayati Magufuli kuhusu UVIKO-19 yametimia, sasa tutaishi nao katika jamii

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Alichosema hayati JPM sasa kimeenda kutimia maana sasa UVIKO-19 unakuwa ugonjwa tutaoishi nao katika jamii.

Hayati alisema mapema kama jamii tujiandae kuishi na hili gonjwa. Tujiandae

Sasa tunashudia hali ilivyo katika jamii yetu. Watu wanaugua, wengine wanapona na wengine Mungu anawachukua.

Jambo la msingi ni kuchukua tahadhari na kuzingatia kanuni za afya. Maana hili gonjwa lipo kwenye jamii na tunaishi nalo
 
Bora hilo shenzi halipo tena..
Na lenyewe lilifyekwa na hiyohiyo corona.
 
Hivi corona si ndiyo ilimtoa juu ya reli na kumpeleka kuzimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…