Alichosema Mkuu wa Kitengo cha Digitali wa Yanga

Hii timu inahitaji maombi Sana

View attachment 2389960
Hawa jamaa huwa wanayamaliza matatizo yao kwa kujidanganya kuwa hayapo.

Baada ya kichapo cha 2-0 toka kwa Vipers wakaona isiwe tabu hawakutaka tena mechi za kirafiki wakaenda zao Avic town wakawa wanaita timu ndogondogo wanacheza nao then wanashangilia wako vizuri sana.

Kawaida yao hao
 
Halafu unajua yule pitso mosimane alivyokuja kwenye ile mechi alishangaa sana yanga ni unbeaten kwa jinsi walivyocheza na aliwapa ushauri wakapuuzia leo itakuwa wanakumbuka maneno yake
 
Halafu unajua yule pitso mosimane alivyokuja kwenye ile mechi alishangaa sana yanga ni unbeaten kwa jinsi walivyocheza na aliwapa ushauri wakapuuzia leo itakuwa wanakumbuka maneno yake
Aliwambiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…