Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Hii timu inahitaji maombi sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa huwa wanayamaliza matatizo yao kwa kujidanganya kuwa hayapo.
[emoji1787]
Halafu unajua yule pitso mosimane alivyokuja kwenye ile mechi alishangaa sana yanga ni unbeaten kwa jinsi walivyocheza na aliwapa ushauri wakapuuzia leo itakuwa wanakumbuka maneno yakeHawa jamaa huwa wanayamaliza matatizo yao kwa kujidanganya kuwa hayapo.
Baada ya kichapo cha 2-0 toka kwa Vipers wakaona isiwe tabu hawakutaka tena mechi za kirafiki wakaenda zao Avic town wakawa wanaita timu ndogondogo wanacheza nao then wanashangilia wako vizuri sana.
Kawaida yao hao
Kwa hiyo malengo hayakuwa kuingia makundi tena
Aliwambiaje?Halafu unajua yule pitso mosimane alivyokuja kwenye ile mechi alishangaa sana yanga ni unbeaten kwa jinsi walivyocheza na aliwapa ushauri wakapuuzia leo itakuwa wanakumbuka maneno yake