Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Hapo jana Benjamin Netanyahu,waziri mkuu wa Israel amemlalamikia raisi Biden wa Marekani kwamba amezuia shehena ya silaha tangu mwezi Mei na hiyo ndiyo sababu ya kudorora kuipiga Rafah ili kufikia malengo.
Kwenye video fupi ya malalamiko hayo Netanyahu amejipa moyo kwamba katika ziara ya karibu ya Blinken nchini mwake amemuhakikishia kuwa silaha zilizozuiliwa ni mabomu 2000 tu na kwamba silaha nyengine zote zilizokuwa kwenye mlolongo wa kusafirishwa zitasafirishwa kama kawaida.
Kwa upande mwengine Marekani nayo silaha inazoziahidi ni vigumu kuzifikisha kwa wakati huku nchi hiyo nayo katika miezi ya kariabuni imetangaza wazi kupungukiwa na silaha na fedha kutokana na kuiunga mkono Ukraine katika vita vyake na Urusi.
Kwenye video fupi ya malalamiko hayo Netanyahu amejipa moyo kwamba katika ziara ya karibu ya Blinken nchini mwake amemuhakikishia kuwa silaha zilizozuiliwa ni mabomu 2000 tu na kwamba silaha nyengine zote zilizokuwa kwenye mlolongo wa kusafirishwa zitasafirishwa kama kawaida.
Israel's Netanyahu blames Biden for withholding weapons. US officials say that's not the whole story
Malalamiko hayo ya Netanyahu ni wazi kuwa kupungua kwa mapigano ndani ya Gaza hasa kwenye eneo la kusini la Rafah hakutokani na huruma ya Israel bali ni kutokana na kupungukiwa na silaha kwa kiwango kikubwa.Picha nyengine ni kuwa katika ukata huo wa silaha jeshi la Israel kwa sasa halitaweza kutangaza vita na Hizbullah.Kwa upande mwengine Marekani nayo silaha inazoziahidi ni vigumu kuzifikisha kwa wakati huku nchi hiyo nayo katika miezi ya kariabuni imetangaza wazi kupungukiwa na silaha na fedha kutokana na kuiunga mkono Ukraine katika vita vyake na Urusi.