Alichosimulia Edgar Mwakabela "Sativa" kuhusu waliomteka na kumpiga Risasi ya Kichwa

Katika story yote hiyo kuna mahali mtekwaji amehusishwa na Chadema?
Kwamba mtu akuteke akutese kisha akuache kwenye pori lenye wanyama wakali akiwa amekufunga pingu na kukupiga risasi ya kichwa then uko hapa una claim "NAAMINI HAKUNA ALIETAKA KUMUUA"? what kind of logic is that?
Next time uwe unasoma ulichoandika kabla ya kupost maana unadhihirisha utaahira wako.
Hao chawa/uvccm ni wa kupuuza tu, wengi wao ni wajinga mno
 
Aisee! Hii ni hatari na nusu. Lucas Mwashambwa una maoni gani juu ya haya mateso aliyofanyiwa Mtanzania mwenzako?
Hii stori imekaa katika namna inayoacha maswali mengi sana .na kuna watu wanataka kujitafutia umaarufu.Hivi kweli mtu kama Martin maranji na Boniface Jacoba wana tishio gani kwa serikali na CCM? Hoja gani nzito za Kuitetemesha serikali yetu? Kwa kipi cha ziada walichonacho? Waache ujinga wao wa kitoto. Serikali yetu ni imara na ndio maana imeruhusu watu wazungumze watakavyo kwa sababu ina majibu ya kila jambo Mkono mwake. Vijana wa CHADEMA ni wa hovyo sana .wao ni uzushi uzushi tu
 
Hebu rudi tena usome kujiridhisha ulichoandika kuwa ndicho ulicho maanisha?
 
Taifa linaongozwa na maharamia, ndugu zangu niwaambie kitu, ukiwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii X, fb, Instagram na hata hii JF, jitahidi sana....

- Usizoeane na mtu yeyote usiyemjua kupitia mitandao ya kijamii, hasa kama ukiwa critic wa hii serikali, na kama mkizoeana hakikisha hamkutani personally na mtu uliyefahamiana nae kupitia mitandao ya kijamii.

- Your ID hata kama ikiwa fake, bado hakikisha watu hasa marafiki na ndugu zako wasiifahamu, hawa wanaweza kukuchoma kwa wabaya.

Huyu Sativa amepona kwa bahati tu, tujiulize ni wangapi wengine wametupwa kwenye hiyo misitu wakaishia kuliwa na wanyama baada ya kuteswa na kuuwawa kwa risasi? ni wengi sana.

Hashtags za mitandaoni haziwezi kuwazuia maharamia kukutesa, na kukuua, wanaweza kukutesa na kuua wala asiwepo yeyote atakayefahamu wapi ulipotupwa mwili wako, anza kujilinda mwenyewe, mihemko ya kujuana na watu kupitia mitandao isahau.

Mwisho niwaase, endapo utaona umeshajikuta mikononi mwa hao watekaji, usijilegeze wakubebe kirahisi, jitahidi kadri uwezavyo kuhakikisha hawakupeleki popote, tumia nguvu au piga kelele za wezi whatever the case ilimradi uwavuruge, narudia tena; USIKUBALI KUBEBWA KIZEMBE UKABEBEKA, kwasababu wakisha kubeba kinachofuata ni turubai nyumbani kwenu.
 
Story hii ina mashimo......
Sidhani kama ili uzipate taarifa za Martin unapaswa umteke mtu Mwingine.
Zipo clear na wala yeye haishi kwa kujificha.

Watupe real story sio hii ya kina MMM kujimilikisha kutekwa kwa mtu Mwingine.
Haimake sense mashimo kibao......
Yaani umteke "nobody" ili akupe taarifa za "nobody"
 
Huwa nashangaa mno watu wazima wanapotumia gharama, raslimali watu na muda ku-deal na jambo dogo kama hili. Na ujue hii kodi yetu ambayo wanasema haitoshi na kukopa wanakopa. Naona huwa wanafanya hivyo ili kujilipa allowance ya ''kuteka na kuzunguka umbali mrefu ili kuua''.
Matumizi ya hovyo na mabaya ya kodi zetu.
Hivi hiyo risasi kwa nini isingelitumika kuua majambazi na wauza madawa ya kulevya wao wanatumia kuulia WAZALENDO.
 
Taifa linaongozwa na maharamia, ndugu zangu niwaambie kitu, ukiwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii X, fb, Instagram na hata hii JF, jitahidi sana....

- Usizoeane na mtu yeyote usiyemjua kupitia mitandao ya kijamii, hasa kama ukiwa critic wa hii serikali, na kama mkizoeana hakikisha hamkutani personally na mtu uliyefahamiana nae kupitia mitandao ya kijamii.

- Your ID hata kama ikiwa fake, bado hakikisha watu hasa marafiki na ndugu zako wasiifahamu, hawa wanaweza kukuchoma kwa wabaya.

Huyu Sativa amepona kwa bahati tu, tujiulize ni wangapi wengine wametupwa kwenye hiyo misitu wakaishia kuliwa na wanyama baada ya kuteswa na kuuwawa kwa risasi? ni wengi sana.

Hashtags za mitandaoni haziwezi kuwazuia maharamia kukutesa, na kukuua, wanaweza kukutesa na kuua wala asiwepo yeyote atakayefahamu wapi ulipotupwa mwili wako, anza kujilinda mwenyewe, mihemko ya kujuana na watu kupitia mitandao isahau.

Mwisho niwaase, endapo utaona umeshajikuta mikononi mwa hao watekaji, usijilegeze wakubebe kirahisi, jitahidi kadri uwezavyo kuhakikisha hawakupeleki popote, tumia nguvu au piga kelele za wezi whatever the case ilimradi uwavuruge, narudia tena; USIKUBALI KUBEBWA KIZEMBE UKABEBEKA, kwasababu wakisha kubeba kinachofuata ni turubai nyumbani kwenu.

1. Usikubali kirahisi maombi uchwara kwenda au hata kufungua DM.

"Mwanzo wa ngoma ni lele."

2. Usikubali mtekaji kukuondoa salama kutoka point A eneo ulikotekwa kuelekea B. Ni heri wakuulie eneo A kama ubavu huo wanao; ambapo aghalabu huwa, hawana.

3. Point B ni makazini kwao, hali A ni ugenini.

4. Utamu wa mechi ichezwe na iishie ugenini ambako hata unaweza kupata hapo sare ukikomaa!
 
Hahaha
Machawa wahed kama huyo Lucas na mwenzie Tlaatlaah uzi kama huu wanapitia kimya kimya
nafatilia kwa ukaribu sana na kujiridhisha, kuona namna risasi ya kichwa inavyopiga na kutokea kwenye taya na jamaa naskia ni mzima na anaongea vizuri tu na hata juice anaweza kunywa kama kawaida. Ya Mungu mengi.

hata hivyo siungi mkono hali yoyote ya kujiteka au kutekwa kweli.

nalaani vikali na kwa nguvu zote vitendo vya kinyama na visivyo vya kiutu kwasababu yoyote ile...

kama ni siasa, tupambane kwa hoja majukwaani kwa hekima, busara na upendo kama waTanzania ndugu wenye maoni tofauti tu. Tuepuke kujenga uhasama au uadui kwasababu tu ya kutofautiana kisiasa au maoni..

tujizuie na mihemko, ghadhabu, hasira, kutukanana matusi ya nguoni bila sababu za maana ingawa matusi hayana maana vilevile ili tujenge jamii yenye amani na kuskizana kwa upendo...

aidha namuombea kwa Mungu, ahueni ya mapema kijana anaedaiwa kupigwa risasi ya kichwa iliyotokea kwenye taya, na uponyaji kamili kadiri ya mapenzi ya Mungu...

vilevile natoa wito kwa jeshi imara sana la polisi nchini, kufanya uchunguzi wa kina juu ya jambo hilo, na kubainisha ukweli wa mambo, ili kuwaondolea hofu wananchi na waTanzania kwa ujumla.. :pulpTRAVOLTA: :pulpTRAVOLTA:
 
nafatilia kwa ukaribu sana na kujiridhisha, kuona namna risasi ya kichwa inavyopiga na kutokea kwenye taya na jamaa naskia ni mzima na anaongea vizuri tu na hata juice anaweza kunywa kama kawaida. Ya Mungu mengi.

hata hivyo siungi mkono hali yoyote ya kujiteka au kutekwa kweli.

nalaani vikali na kwa nguvu zote vitendo vya kinyama na visivyo vya kiutu kwasababu yoyote ile...

kama ni siasa, tupambane kwa hoja majukwaani kwa hekima, busara na upendo kama waTabzania ndugu wenye maoni tofauti tu. Tuepuke kujenga uhasama au uadui kwasababu tu ya kutofautiana kisiasa au maoni..

tujizuie na mihemko, ghadhabu, hasira, kutukanana matusi ya nguoni bila sababu za maana ingawa matusi hayana maana vilevile ili tujenge jamii yenye amani na kuskizana kwa upendo...

aidha namuombea kwa Mungu, ahueni ya mapema kijana anaedaiwa kupigwa risasi ya kichwa iliyotokea kwenye taya, na uponyaji kamili kadiri ya mapenzi ya Mungu...

vilevile natoa wito kwa jeshi imara sana la polisi nchini, kufanya uchunguzi wa kina juu ya jambo hilo, na kubainisha ukweli wa mambo, ili kuwaondolea hofu wananchi na waTanzania kwa ujumla.. :pulpTRAVOLTA: :pulpTRAVOLTA:
Mkuu, umenena vyema kote kasoro kwenye paragraph ya mwisho. Washirika kwenye sakata zima la utekaji, utesaji na mauaji hawawezi kujichunguza. Haiwezekani majambazi wasio na ushirika na polisi wateke mtu wampeleke kituo cha polisi, kisha wamhoji na kumlaza hapo
 
Back
Top Bottom