Alichoweka Baleke kwenye Instastory yake leo

Mbona haina hata mahusiano na mada?, wewe unayaona? Hoja yako ni nini?
Mwasibu baada ya Aziz Ki sasa ni Baleke
 
Tumefurahi amesajiriwa kwenye timu ya Ndoto yake.
Timu aliyeonesha mapenzi toka akiwa Simba.

1. Kibu anaifunga Yanga anamkataza kushangilia goli lake.

2. Simba inafungwa 5 yeye akiwa mchezaji wa Simba anaungana na wachezaji wa Yanga kushangilia kufungwa kwa Simba baada ya Mechi.

Tunamtakia kila la heri kwenye timu yake pendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…